Wananchi wenye hasira wamuua mwanafunzi aliyetuhumiwa kuuwa wenzake 5 na mlinzi mmoja

Wananchi wenye hasira wamuua mwanafunzi aliyetuhumiwa kuuwa wenzake 5 na mlinzi mmoja

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Wakazi wa kambi ya wakimbizi ya Kakuma wamemuua mwanafunzi aliyekuwa anatuhumiwa wanafunzi watano na mlizi katika shule ya Sekondari ya Lokichogio huko Turkana

Mtuhumiwa huyo alikuwa amekamatwa na polisi kabla ya wakazi hao kuvamia kituo cha polisi cha Kakuma na kumchoma

Kamanda wa Polisi wa Turkana Ronad Opili alithibitisha tukio hilo na kusema mshukiwa huyo alikamatwa kwenye kambi ya wakimbizi ya Kakuma alipokuwa akijaribu kukimbilia Sudan Kusini


TURKANA: Mwanafunzi aliyefukuzwa shule alipiza kisasi kwa kuwaua wanafunzi 5 na mlinzi
==========================================================

Residents of Kakuma refugee camp have lynched a suspect accused of murdering five students and a night guard at Lokichogio Mixed Secondary School in Turkana County.

The suspect, who was also a student at the school, had been arrested by police before the locals stormed Kakuma police station and burned him.

County police commander Ronald Opili confirmed the incident and said that he was apprehended in Kakuma refugee camp as he tried to flee to South Sudan.
County Commissioner Seif Matata said one of the attackers responsible for the Saturday morning incident was a student who was on suspension.


"Several students were injured. We cannot confirm the number until we liaise with the hospital," Mr Matata told journalists in Lodwar town.

He said he is from the Toposa tribe of South Sudan

Source: Daily Nation
 
Wakimbizi wa kambi ya KAKUMA...[emoji45]
Kituo cha police KAKUMA..[emoji47]
Basi KAKUMA ni tatizo....
Tangu lini Kakuma kakawa ndo tatizo? Ungesema Kikuma ningekuelewa, hapo sasa ndo inakuwaga mama ya matatizo yote mkuu. 😀
 
Tangu lini Kakuma kakawa ndo tatizo? Ungesema Kikuma ningekuelewa, hapo sasa ndo inakuwaga mama ya matatizo yote mkuu. 😀
Ohhhoooo......[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Me sijaelewa story inasemaje, nimetoka tu najina la kambi ya wakimbizi ya kakei
 
One man's meat is another man's poison. Jina la hiyo kambi kwa Kiswahili ni tusi ila kwa mazingira ya Kenya ni jina zuri tu.
Kwetu ugali tunaita UBUKIMA lakini neno hilo kwa wasukuma ni tusi.
 
Back
Top Bottom