Wananchi wenzangu tuzungumze kidogo

Wananchi wenzangu tuzungumze kidogo

Mr_X

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2015
Posts
1,170
Reaction score
2,335
Wananchi wenzangu poleni kwa kupoteza game ya leo na tutambue kuwa mpira una matokeo matatu na ligi Ni game 34 so ni vigum Sana kutofungwa game zote labda itokee bahati tu. Leo tulikuwa na poor performance lakini Bado tulitengeneza nafasi za wazi kufunga na tukakosa magoli ya wazi rejea Farid, Kisinda & Yacouba. Haya yashaisha tujipange na game ijayo ligi Bado mbichi

Jambo nalotaka kuzungumza na nyinyi ndugu zangu ni kuhusu mwenendo wa team yet, game 5 zilizopita droo3 lose1 win1, Kati ya hizo game hamn game ambayo hatujapata matokeo tunayostahili. Kitu kilichonishtua Mimi Ni kwamba Ni kama tunaenda hatua 2 mbele alafu 5 nyuma. Nafahamu mwakani tunaenda kushiriki mashindano ya kimataifa ila kwa performance hii inanishtua na kunitia wasiwasi. Kwanini Mr Kaze anastruggle sana na team zinazo possess football rejea teams kama Kagera Sugar & Costal Union, Yani team ikiamua kuutaka mpira na kuucheza Basi Yanga tunazidiwa, je tunafail wapi? Je, Mr Kaze kocha aliepitia FC Barcelona anashindwa nini kumiliki mpira na anazidiwa na kupossess na team za kawaida Kama hizo. hili Ni tatzo maana Mashindano ya kimataifa hamna team inayobutua, je tutaweza ku.compete?

Kwa uwezo wangu mdogo wa kuuchambua mpira na kuuelewa nimejaribu kuyaona haya machache YangaSC tunaingia na mindset ya kukaba sana, YangaSC tunaingia na viungo wawili ambao wote kiasili sio attacking midos. Je Mr Kaze anajarbu kutuaminisha kwa dunia ya Sasa team inaweza cheza na viungo wawili wakabaji bila kuwa na AM na akashinda?, Turudi kwa wenzetu walioendelea kwenye soka Barca, Madrid, Bayern, RB Leipzig, Dortmund, Juve, Milan, Ajax, Porto, United, City, Liverpool, Chelsea, Arsenal, Spurs, PSG, Lille Metropo, Benfica Hawa wote wanacheza na viungo watatu kama sio 433 Basi Ni 4231 na lengo ni kuumiliki mpira na kufanya pressing ya Hali ya juu sisi tunafail wapi? Au ndo ule msemo hatuna AM? Mwisho simbezi Mr Kaze anaweza kuwa anajua zaid anachokifanya na 442 yake maana hata Sir Alex pale OT alitumia sana 442 na akabeba ndoo 11 za EPL lakn ajiangalie bongo hamna ile kitu kujenga team au kupewa muda

Note: Waliokarbu na Kaze wamshaur kitu kingine muhmu. Naamini Kaze anauwezo mkubwa sana, ila saiv kidgo kidgo anaanza kuingia kwenye mitego ya waandishi habar makanjanja, amekuwa mwepesi wa kupanic anataka kushindana nao. Kibaya zaidi wengi wanatumiwa. Aachane nao na ikiwezekana asiwe anawasikiliza na kusikiliza vipindi vyao
 
Hakuna mjadala kaze ndiye kocha flop kwa muda mchache tu aliokaa YANGA haoneshi mabadiliko yoyote Zaid timu inarud nyuma

Halafu huu upuuz wa kimsikiliza kocha kusajir ndio ametuletea fiston ambaye anaongoza kwa ufungaj kwenye mazoezi na huyu mwingne saidoo n majeruh tupu

Upangaj wa kikosi n hovyo n muda Sasa wa tumbotumbo na msolwa watuachie timu yetu

Ni Bora tukajenga timu yetu na vijana wa ndan ya nchi kuliko kusajir magarasa ya kimataifa mwaka wa nne huu hakuna ubingwa

Project ya kutebgeneza vyumba ife Kama wachezaj wenyewe ndio hawa akina sarpong na fiston walazwe tu hotel za elfu 5 tu maana sion wanachofanya Zaid ya kula pesa ya gharib tu

Eng hersi n tapeli aliyejificha kwenye mgongo wa mwekezaji na tunashindwa kumuhoj sababu ndyo anamuwakilisha mfadhir wetu
Mshindo msolwa hana weled wa uongoz yeye anaakil za mgando tu tumemchoka kila siku Ni michango amewekwa pale ili atafute namna ya kuisaidia timu kupata wafadhir na s kusumbua mashabiki kifup hana ushawishi tena wenye pesa zao wanamuona Kama ngo'mbe tu aliyepata bahat ya kuongoza klabu kubwa nchin yenye mashabiki wengi
Na atakuwa kiongoz wakwanza kuiongoza yanga bila kuleta taji la ligi kuu

Mechi na prison hatutoki sababu molari ya wachezaji ipo chini sana achana na mechi ya jpil tunayoenda kutana na polisi namuona yondaniakikaza had tako la mwisho na Marcelo kaheza akituweka kimoja cha nguruwe

Mwakalebela siwez muongelea n mjinga asiyejitambua mkipata nafas muulizen kesi ya Morrison vp na je HAJI MANARA AMESHAOMBA RADHI KAMA BADO ZILE MILION MIAMOJA NA USHEE KALIPA?

SI VIBAYA KUWAIGA SIMBA WENZETU WAMEPIGA HATUA KIUKWELI TUNAKOENDA WAO WATAKUWA SI WATANI WETU SABABU HATUKIDHI VIGEZO

MWISHO WAAMBIEN MASHABIKI WA YANGA WAACHE USENGE NDIO N USENGE NARUDIA TENA USENGE WA KWENDA AIRPORT KUPOKEA MAGARASA KAMA HAYA AMBAYO YANATAKA TUKARABATI CHUMBA CHA MIL 6 HALAFU UWANJANI WANACHEZA MDAKO ***** ZAO WAKATWE WOTE WATUACHIE WAZAWA

KUANZIA SASA SITAINGIA UWANJANI KUICHANGIA YANGA SIKU YANGA IKICHEZA KILE KIINGILIO NANUNUA KITIMOTO NAKULA KUPOZA MACHUNGU HATA IKIFUNGWA NA MM KIINGILIO NAKUWA NIMEJENGA MWILI NA SIO KUJENGA MAGONJWA YA HOFU (PRESSURE) MWISHOWE NIZIKWE SIKU S ZANGUView attachment 1717516
 
Afu nyie Utopolo acheni kuchafua brand ya Barcelona, Yule hajapitia Barcelona hata La masia haifahamu.
 
Dah umefunguka kwa hisia Kali na ukwel mtupu mtan wangu, sema wengi Ni vilaza hasa mashabik wanashindwa kujiuliza maswal machache tu kuwa kwa uwekezaj wa sasa wa Yanga na Simba upi upo serious? Je, sorting ya wachezaj wa Yanga Ni pure? Yaan unamleta fiston na sarpong ,yakuba alaf utegemee uwe bingwa kweli? Labda bia bingwa .

Yanga kitu kingine viongoz wenu wanajua kucheza na akil zenu vzr Sana coz Kila wakitoa lawama sehem mnashangilia tu bila kujiuliza maswal machache ,mtu anasema tff na marefa wanawahujumu ,fungeni magoli ya kutosha tuone km tff na marefa watagomea magol yenu ,yaan upate ushind kwa shida lawama upeleke kwingine, wapi na wapi hiyo.

Game ya leo refa alikuwa upande wenu bila ya hivyo mlipaswa mtoke sifur ,goli la kisinda alimsukuma yule beki wazwaz lakin refa kafinya, sasa jiulize lile goli la Yanga lingekuwa la Simba sijui mngeongea nini?
 
Back
Top Bottom