Wananchiiii kwa Mkapa ni burudani na raha tu leo katika kilele cha wiki ya Wananchi

Wananchiiii kwa Mkapa ni burudani na raha tu leo katika kilele cha wiki ya Wananchi

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Snapinsta.app_454208913_18331717588135476_272826722974732975_n_1080.jpg

Wananchiiii kwa Mkapa ni burudani na raha tu leo katika kilele cha wiki ya Wananchi.

Tumefunika kelele za makolo wote wapo kimyaa. Wasubiri 8 agosti, 2024 tuwaonyeshe sisi ni wakina nani.
 
Tamasha Bora Huwa ni Moja tu...!

Tanzania na Afrika nzima, Limeshaisha.Lilifanyika Kwa Mkapa jana.

Kokote ndani ya Afrika ukisikia Lipo Lingine, hilo ni Bonanza
Sioni haja ya huu Uzi Kuendelea umeshaufunga.😁 Kila kitu wanapiga UBUNIFU ZIRO.😂
 
Tutaona wazee wetu leo.akina chama na dube wakiruka ruka
 
Watu wa mpira hatunaga mambo mengiii.

Maburudani yamezidi yameuka kuwa kero..

Natamani kwamba match iwe inaanza halafu miziki iwekwe mwisho kwa wanaotaka kuendelea
 
Back
Top Bottom