Mkalukungone mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 862 Reaction score 1,755 Aug 4, 2024 #1 Wananchiiii kwa Mkapa ni burudani na raha tu leo katika kilele cha wiki ya Wananchi. Tumefunika kelele za makolo wote wapo kimyaa. Wasubiri 8 agosti, 2024 tuwaonyeshe sisi ni wakina nani.
Wananchiiii kwa Mkapa ni burudani na raha tu leo katika kilele cha wiki ya Wananchi. Tumefunika kelele za makolo wote wapo kimyaa. Wasubiri 8 agosti, 2024 tuwaonyeshe sisi ni wakina nani.
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,089 Reaction score 9,664 Aug 4, 2024 #2 Tamasha Bora Huwa ni Moja tu...! Tanzania na Afrika nzima, Limeshaisha.Lilifanyika Kwa Mkapa jana. Kokote ndani ya Afrika ukisikia Lipo Lingine, hilo ni Bonanza
Tamasha Bora Huwa ni Moja tu...! Tanzania na Afrika nzima, Limeshaisha.Lilifanyika Kwa Mkapa jana. Kokote ndani ya Afrika ukisikia Lipo Lingine, hilo ni Bonanza
M mama kubwa JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 6,230 Reaction score 9,889 Aug 4, 2024 #3 kinje ketile said: Tamasha Bora Huwa ni Moja tu...! Tanzania na Afrika nzima, Limeshaisha.Lilifanyika Kwa Mkapa jana. Kokote ndani ya Afrika ukisikia Lipo Lingine, hilo ni Bonanza Click to expand... Sioni haja ya huu Uzi Kuendelea umeshaufunga.😁 Kila kitu wanapiga UBUNIFU ZIRO.😂
kinje ketile said: Tamasha Bora Huwa ni Moja tu...! Tanzania na Afrika nzima, Limeshaisha.Lilifanyika Kwa Mkapa jana. Kokote ndani ya Afrika ukisikia Lipo Lingine, hilo ni Bonanza Click to expand... Sioni haja ya huu Uzi Kuendelea umeshaufunga.😁 Kila kitu wanapiga UBUNIFU ZIRO.😂
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Aug 4, 2024 #4 Tutaona wazee wetu leo.akina chama na dube wakiruka ruka
A Anonymous Caller JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 679 Reaction score 870 Aug 4, 2024 #5 Watu wa mpira hatunaga mambo mengiii. Maburudani yamezidi yameuka kuwa kero.. Natamani kwamba match iwe inaanza halafu miziki iwekwe mwisho kwa wanaotaka kuendelea
Watu wa mpira hatunaga mambo mengiii. Maburudani yamezidi yameuka kuwa kero.. Natamani kwamba match iwe inaanza halafu miziki iwekwe mwisho kwa wanaotaka kuendelea