CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
Mimi nimepunguza mawasiliano naye kwasababu wife wangu alikuwa hapendi. Hata kwa upande wake mume wake walikuwa wanagomba sana hivyo tukaamua kutumia busara kupunguza mawasiliano hasa wakati wa usiku na weekend. Ilikuwa ngumu lakini sasa tumezoea tunawasiliana mara chache sana na wakati mwingine tunapotaka kuombana ushauri au kuliwazana maana tulishibana sana. Ndio hivyo maisha yanaenda.
habari zenu wanandoa na wanajf kwa ujumla. imagine kabla ndoa ulikuwa na best friend wa kiume/kike ambaye alikuwa close na wewe (SIO MPENZI) mlikuwa mkisaidiana katika shida na raha ikafika wakati wa kuachana na ukapera yan kuingia ktk ndoa... je uliendelea na urafiki na huyo rafiki yako? kama uliendelea mkeo/mmeo aliuchukuliaje urafiki wenu? je uko huru na urafiki wenu kama awali? ama unau-handle vipi huo urafiki?
Zingatia hapo kwenye red, nyie ndo mnaofanya urafiki huo usiaminike sasa mnaliwazana kitu gani.kha!
Zingatia hapo kwenye red, nyie ndo mnaofanya urafiki huo usiaminike sasa mnaliwazana kitu gani.kha!
Zingatia hapo kwenye red, nyie ndo mnaofanya urafiki huo usiaminike sasa mnaliwazana kitu gani.kha!
huyo wife wako usipomwangalia ataua ukaribu hata wa baadhi ya ndugu zako wa mbali, maana wengine hawaamini mabinamu n.k. huyo rafiki ungekuwa unampenda sana si ungemuoa?Mimi nimepunguza mawasiliano naye kwasababu wife wangu alikuwa hapendi. Hata kwa upande wake mume wake walikuwa wanagomba sana hivyo tukaamua kutumia busara kupunguza mawasiliano hasa wakati wa usiku na weekend. Ilikuwa ngumu lakini sasa tumezoea tunawasiliana mara chache sana na wakati mwingine tunapotaka kuombana ushauri au kuliwazana maana tulishibana sana. Ndio hivyo maisha yanaenda.
huyo wife wako usipomwangalia ataua ukaribu hata wa baadhi ya ndugu zako wa mbali, maana wengine hawaamini mabinamu n.k. huyo rafiki ungekuwa unampenda sana si ungemuoa?
kila la heri. itabidi sasa uwe na marafiki manjemba tu...............lol! watu wengine wanapenda kudanganya! maana najua kabisa haiwezekani kabisa usiwe na rafiki wa jinsia nyingine........... jaribu lakini, maana ndoa ni BARAKAKwa upande wa familia hana tatizo hata kidogo-amepata 100/100 toka kwa ndugu awe wa mbali au wa karibu.
Kwanza lazima ukubali ndoa ni baraka ya mwenyezi Mungu. Halafu ukumbuke kuna sababu na mazingira tofauti tofauti yanayokutanisha marafiki na mengine hufuata.
kila la heri. itabidi sasa uwe na marafiki manjemba tu...............lol! watu wengine wanapenda kudanganya! maana najua kabisa haiwezekani kabisa usiwe na rafiki wa jinsia nyingine........... jaribu lakini, maana ndoa ni BARAKA
kama alikuwa ni best friend, siyo mpenzi, ni wazi kabisa huyo mtarajiwa atakuwa au ameshakutana naye au ameshamsikia sana kutoka kwako. kwa maana hiyo sidhani kama kuoa/kuolewa kwako kutabadilisha fact kwamba huyo ni rafiki yako.