mkùu we wasema, ktk u-bf/gf unakuta mtu anatoa masharti huyu rafiki yako ctaki kumsikia na urafiki wenu ufe. hapo hamjafunga ndoa je mkifunga ndoa je.... utachaguliwa marafiki
kama alikuwa ni best friend, siyo mpenzi, ni wazi kabisa huyo mtarajiwa atakuwa au ameshakutana naye au ameshamsikia sana kutoka kwako. kwa maana hiyo sidhani kama kuoa/kuolewa kwako kutabadilisha fact kwamba huyo ni rafiki yako.
habari zenu wanandoa na wanajf kwa ujumla. imagine kabla ndoa ulikuwa na best friend wa kiume/kike ambaye alikuwa close na wewe (SIO MPENZI) mlikuwa mkisaidiana katika shida na raha ikafika wakati wa kuachana na ukapera yan kuingia ktk ndoa... je uliendelea na urafiki na huyo rafiki yako? kama uliendelea mkeo/mmeo aliuchukuliaje urafiki wenu? je uko huru na urafiki wenu kama awali? ama unau-handle vipi huo urafiki?
Inategemea na aina ya mwanamke, kuna wanawake wengine yani hawafai unaweza kupoteza hata rafikizo wa jinsia yako.
charminglady Nasema baada ya ndoa inabidi ubadilishe life style na hata marafiki wengine inabidi uwapige chini.
Mimi nimeshakuoa sasa unakuwa na rafiki mwingine kiume wa nini?
Mfanye mumeo/mkeo awe ndo rafiki yako katika shida na raha wengine piga chini.
Mimi sintakuelewa kabiiiiiiiisa.
habari zenu wanandoa na wanajf kwa ujumla. imagine kabla ndoa ulikuwa na best friend wa kiume/kike ambaye alikuwa close na wewe (SIO MPENZI) mlikuwa mkisaidiana katika shida na raha ikafika wakati wa kuachana na ukapera yan kuingia ktk ndoa... je uliendelea na urafiki na huyo rafiki yako? kama uliendelea mkeo/mmeo aliuchukuliaje urafiki wenu? je uko huru na urafiki wenu kama awali? ama unau-handle vipi huo urafiki?
Mfanye mumeo / mkeo kuwa rafiki + mpenzi + jirani wa pekee katika maisha yako baada ya ndoa...hutasumbuka na maswali au mabo kama haya kwani automatically utawashau wote wa zamani.
habari zenu wanandoa na wanajf kwa ujumla. imagine kabla ndoa ulikuwa na best friend wa kiume/kike ambaye alikuwa close na wewe (SIO MPENZI) mlikuwa mkisaidiana katika shida na raha ikafika wakati wa kuachana na ukapera yan kuingia ktk ndoa... je uliendelea na urafiki na huyo rafiki yako? kama uliendelea mkeo/mmeo aliuchukuliaje urafiki wenu? je uko huru na urafiki wenu kama awali? ama unau-handle vipi huo urafiki?
habari zenu wanandoa na wanajf kwa ujumla. imagine kabla ndoa ulikuwa na best friend wa kiume/kike ambaye alikuwa close na wewe (SIO MPENZI) mlikuwa mkisaidiana katika shida na raha ikafika wakati wa kuachana na ukapera yan kuingia ktk ndoa... je uliendelea na urafiki na huyo rafiki yako? kama uliendelea mkeo/mmeo aliuchukuliaje urafiki wenu? je uko huru na urafiki wenu kama awali? ama unau-handle vipi huo urafiki?
nadhani alikuwa anamaanisha kupeana moyo / kufarijiana
aisee umenigusa sana maana nimekumbana na mgogoro unaofanana na huo