Wanandoa hii ni kweli

DCASHDOLLAR

Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
8
Reaction score
0
Wana FJ.
Katika ndoa kuna mambo mengi kuna wakati wa furaha na karaha kuna kupeana na wakati mwingine kunyimana pia. Utasikia mchana mtu na mke wake wanatupiana maneno makali hadharani. mr anaamua kuweka mgomo kutokula kuongea nk baadhi ya watu wanasema mrs akimshawishi wakafanya tendo la ndoa ndiyo na ugomvi unaisha hata kama lilikuwa la kupelekana kwa wazazi. kuna ukweli hapo? Thanks
 
peleka mmu jukwaa basi,....
 


Naona umekosea jukwaa mkuu
 

Peleka MMU Mkuu
 
Kijana naona umekurupuka tu,na kupost mambo bila ya kuangalia uwanja...hapa sio mahala pake MGENI....karibu jamiiforums,taratibu utalizoea jukwaa
 
Mgeni jamani msameheni bure..,by the way kuna hoja ya kujadili.
 
ngoja nitoke kama wengine, nitarudi badae kujua what next!!
 
Hana adabu huyu.ht kubisha hodi hajabisha!! ashaingia mpk masta room
 

wewe umeoa dogo?
 
Achana na ile kitu bwana mkuba, watu wanawatukana hadi wazazi wao pale. ila pamoja na hiyo ulimi wa mke unaweza mfanya mume ahairishe ugomvi
 
ni kweli. Kwa kiasi kikubwa migogoro humalizwa na ngono. Kisha kusameheana na kuonyana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…