Pole mkuu..!Nimekushangaa ulishindwa kumwambia mlipokuwa Peke yenu sasa tofauti yako wewe na hao ni kuwa wale wako kwenye ndoa wanazungumza mambo Yao we umekujayleta humu tuyajadili na ninaamini wanaweza wakawa member humu wanatakuibukia usutwe mchana kweupe
Acha uongo.π π π
Nimeshaolewa na ndoa yangu ina miaka 10 Mr. troublemaker..!!
Learn your lessons na uende, huwezi lazimisha mtu ayaishi yale anayoyafundisha.!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeshaolewa na ndoa yangu ina miaka 10 Mr. troublemaker..!!
kama ni kichwa ngumu hubadiliki utagombezwa tu hata mbele ya wazazi wako na ndugu zakoMe nikagombezewe tu ndani kwakweli, siyo mbele za watu.!!
Shauri yake aliyetakiwa awe Mume wake kasoma hapa kashaghairi mpango.Maneno huumba, hivi asiponitokeza wa kukuoa utalaumu?[emoji23] kwani kwa kinywa umekiri umeolewa
Mkuu umeokoka lini?
very trueVery unfortunately, hiyo imenishinda.
Nakumbuka nikiwa nasoma secondary, nilikuwa sifundishwi na mtu ambaye najua amefeli, au akinifundisha kabla ya matokeo baadae yakatoka amefeli naachana na notice zake.
Same wise nisivyoweza kwenda kwa padri kumwona ushauri juu ya mambo ya ndoa au kuungama kwa padre ambaye misele yake naijua.
Sasa kwa kitendo alicho fanyiwa na mumewe, hicho alicho kifanya mke ni hofu/woga.Mkuu,
Sijambeza! Na wala siwezi thubutu kufanya hivyo.!! Nimeshangazwa na nidhamu yake, na nikatamani niweze kujishusha namna hiyo.!
Kumbeza?? I wouldn't dare!!