Ww mwanadada mtoa uzi huenda kinachokusumbua ni ubinafsi na kuona ume win maisha na huoni sababu ya kuolewa na kua chini ya mtu.
Hapo huyo mwanaume katoa lugha gani ya kuudhi? Mbona kasema lugha nyepesi sana na ya kawaida? Vip angeanza kumtukana mbele yako , si ungeenda redion kutangaza kabisa?
Usichokijua ni kwamba mwanamke ambae atazeeka na mmewe ni lazma ajishushe na kumheshimu mmewe.
Sasa nyie msioweza hayo mambo ebu kaeni kimya mzalishwe muishi maisha yenu.