Sio wanandoa tu, hata wapenzi na marafiki wakiwa pamoja muda mrefu hufanana.
ni kweli,i have a closest friend mpaka kila mtu anasema we are twins.
True love..
tunu na pinda?
au ben na ana?
Absolutely, kila mnavyo pendana ndo mnazidi kufanana.True love..
Absolutely, kila mnavyo pendana ndo mnazidi kufanana.
mi pia nilikuwa na rafiki hadi ilifikia kipindi tunajikuta tumevaa sare wakati tunafanya shopping sehemu tofauti na hatukai karibu.