Wanandoa kuishi mbalimbali

Marie Curie

Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
23
Reaction score
3
Wapendwa wana jamii,hapa nilipo ni katika dilema,nina mme na watoto.Namshukuru sana Mungu kwa baraka zote alizonijaza,nilikuja kusoma ulaya nimemaliza nikapata kazi na resident permit yenye work permit.Sasa ngoma mme wangu amekataa kunijoin hata mimi namsupport since sitaki afanye kazi ambazo kwangu mimi hazifai.Sasa nifanyeje mwenzenu mie
 
Mshauri kwa upole na utaratibu umuhimu wa wanandoa kukaa pamoja na pia kumuelewesha mipango yako mizuri ya kumsaidia kupata kazi nzuri yenye kipato kizuri kwa maslahi ya familia yenu.
Binafsi siungi mkono kabisa hoja ya wanandoa kukaa mbali mbali maana hiyo pia huwa inachangia sana wahusika kutembea nje ya ndoa.
Kila la kheri.
HP
 
Mfuate alipo usitumie email wala simu kumconvice akufuate, kaonanenae ana kwa ana atakuelewa tu hakuna lenye kheri linaloshindikana
 
Yaani kwa kweli sijui nifanye nini,kasema mke ndo anatakiwa amjoin mme,I have my permit ya kuishi na family,a house.BUT I HAVE TO LEAVE AND GO BACK TO TANZANIA TO STAY WITH MY HUSBAND,Maisha haya jamani
 

Amua moja kumfuata mmeo huko aliko mwendeleze familia zenu.
 

Why do I got'ta feeling kuwa unataka kumpelekesha huyo mumeo? Kwa nini unataka afanye kazi unayotaka wewe tuu bila kujali yeye anataka nini? Labda ndio sababu anaogopa kuja kukujoin huko 'ughaibuni', kwani akija lazima afanye kazi...na we ndio utamchagulia kazi gani afanye?!
 
Yaani kwa kweli sijui nifanye nini,kasema mke ndo anatakiwa amjoin mme,I have my permit ya kuishi na family,a house.BUT I HAVE TO LEAVE AND GO BACK TO TANZANIA TO STAY WITH MY HUSBAND,Maisha haya jamani

dada hiyo nayo ni changamoto ya maisha Mshirikishe Mungu pia atakufungulia njia na atakumfua na yeye ili mfike uamuzi uliothabiti kwa hata Mungu hapendi alichounganisha yeye kitenganishwe
 
Sio hivyo,yeye hataki kuja maana Tz ana kazi yake ya maana,sasa nami namuunga mkono maana ni kweli akija huku aanze upya kutafuta kazi.
 
dada hiyo nayo ni changamoto ya maisha Mshirikishe Mungu pia atakufungulia njia na atakumfua na yeye ili mfike uamuzi uliothabiti kwa hata Mungu hapendi alichounganisha yeye kitenganishwe
kweli ni changamoto,unajua keki,yaani huku keki na kule keki now I have to choose,I think nirudi home nikaishi na mme wangu,na kujenga taifa pia
 
Pole sana, Ongea nae kwanza km haiwezekani kabisa nenda kwa mumeo la sivyo atakutafutia msaidizi (mwanamke mwingine).
 
Pole sana mwaya!
Kwavile kwa namna yoyote huwezi kuishi huko milele,
Nakushauri rudi kwa mmeo,ukizingatia lengo lilikuwa kwenda kusoma na si kusoma na kufanya kazi huko,
Na km ana kazi yake ya kueleweka huku nawe umesoma,rudi uishi na familia yako na kazi utapata tu na kuishi kwa amani.
 
Dah, Pole sana.
Ndoa ni muhimu kuliko kazi na hayo maslahi mengine.Hivyo kama amekataa rudi tu nyumbani mjenge familia.
Kumbuka mliagana kwamba unakwenda kusoma na akakubali kuvumilia.

NB:Kama unaweza rudi bongo mara moja muonane ana kwa ana inaweza saidia kumonvisi.
 
si urudi nyumbani utafute kazi huku?naona shetani anakunyemelea na unataka uhalali toka kwetu
 
Mama rudi no way out. Na ukiona kauchuna na kukupa option kuwa wewe amua jua yuko anamega kitu ingine.
 

Kinacha msumbua mme wako ni ule wimbo wa jd "wanaume kama mabinti"
 
Hivi mara unarudi halafu unakuta umeshatafutiwa msaidizi itakuaje???

Rudi lakini mwaya,mume mtamu.....:wink1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…