Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Ni mambo ya kawaida yapo na yanaongezeka kila siku.
Nisiwachoshe sana si mbaya kupata uzoefu kwa wale mlioachana kwenye ndoa na jinsi ulivyoteseka ama kufarijika baada ya kuachana.
Je, procedure gani mlifuata mkaachaa kihalaliii ili mkikutana uswazi hakuna kusumbuana
Naamanisha procedure za talaka kwa dini zote, wekeni hapa vijana wanaodumbukia wajue kuna moto ama baridi hakuna uvuguvugu ndoani.
Mwishoooo nawatakia faraja njema wote mlioachana.
Allah akawe mfariji wenu.