Wanandoa mlioachana mje hapa kutuambia mlianzaje na mlimalizaje

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ni mambo ya kawaida yapo na yanaongezeka kila siku.

Nisiwachoshe sana si mbaya kupata uzoefu kwa wale mlioachana kwenye ndoa na jinsi ulivyoteseka ama kufarijika baada ya kuachana.

Je, procedure gani mlifuata mkaachaa kihalaliii ili mkikutana uswazi hakuna kusumbuana

Naamanisha procedure za talaka kwa dini zote, wekeni hapa vijana wanaodumbukia wajue kuna moto ama baridi hakuna uvuguvugu ndoani.

Mwishoooo nawatakia faraja njema wote mlioachana.

Allah akawe mfariji wenu.
 
Mapenzi mwanzo matamu kama sukari mwisjonuwa machungu sana..sijui ata nifananishe na nini!
 
Wewe jamaa una vituko.Badala uulize jinsi wanavyoendelea vema kwenye hizo couples,unauliza walivyoachana?Kaangalie kipindi cha "1000 ways to die" badala ya "you're what you eat"!
 
Wewe jamaa una vituko.Badala uulize jinsi wanavyoendelea vema kwenye hizo couples,unauliza walivyoachana?Kaangalie kipindi cha "1000 ways to die" badala ya "you're what you eat"!
Walioahana watafarijiwa na nani mkuu kama tukitaka kuuliza haoo
 
Walioachana huwa wana makasiriko na viapo vingi sana.Ukikutana nao wanunulie maji baridi wanywe kushusha jazba.
Mi wangu nilipoachana nae nkaenda kumtolea sadaka kanisani kmr korogwe 50000 Mungu anisaidie nisimwone wala kumsikia wala kupishana nae nduguu mpaka kesho mwaka wa 2024 toa 2005

Maana nilijidumbukiza penzi la.mlokole mmoja baada ya muachanooo akanipea wanangu wazuri sikutaka tena drama
 
Hivi,Pdidy unavyoandika ndiyo huwa unaongea hivyohivyo?
 
Tulianza kama kaka na dada Tukamaliza Mke na mume😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…