kwanini wasiboreshe mazingira ya nyumba zao na vyumba vyao ili ikidhi mahitaji yao hayo bwana andindile ?/ mama mia wewe umeolewa ??
wanandoa na wasio wanandoa ;kuna kitu kidogo kinanichanganya iweje unaishi dar esalaama then mida ya mchana mnaenda kwenye guest mnaulizwa cheti cha ndoa mnaonyesha y????kwa nini msiende majumbani kwenu......
ama kuna starehe tofauti wanandugu nihabalisheni ntashukuru na mimi niikingia hukonijue sehemu ya kuanzia
weekend njema jamani
...Angalau wapange kulana uroda kila wiki ends unafukuza watoto wote na ndugu waliopo waende kutembea ili mpate nafasi ya kumegana. Maisha ya mjini nuksi
kwanini wasiboreshe mazingira ya nyumba zao na vyumba vyao ili ikidhi mahitaji yao hayo bwana andindile ?/ mama mia wewe umeolewa ??
kwanini wasiboreshe mazingira ya nyumba zao na vyumba vyao ili ikidhi mahitaji yao hayo bwana andindile ?/ mama mia wewe umeolewa ??
wanandoa na wasio wanandoa ;kuna kitu kidogo kinanichanganya iweje unaishi dar esalaama then mida ya mchana mnaenda kwenye guest mnaulizwa cheti cha ndoa mnaonyesha y????kwa nini msiende majumbani kwenu......
ama kuna starehe tofauti wanandugu nihabalisheni ntashukuru na mimi niikingia hukonijue sehemu ya kuanzia
weekend njema jamani
ahahahahahaha....duuu ebwanaheeeeeeeeee kwani ngono ina tofauti gani na tendo la ndoa?.....haya mambo ya wanandoa kwenda guest au nyumba za wageni mie nadhani ni ngono na sio tendo la ndoa.....kwani mke au mume wa ndoa huwa hakinai hata ka amtafanya tendo hilo takatifu miaka 100 na sehemu hiyohiyo...tendo kama limebarikiwa linaongozwa na malaika wa MUNGU na utamu wake hauishi milele...sasa haoooo wanaotoka majumbani kwao kwenda kulana uroda ndio haoooo utaskia wanakula na tigo na mengineyo yani uchafu na wizi mtuuupu vyote ni machukizo kwa bwana....UZINZI NA UASHERATI NA NGONO YOOOTE ni kwenye ziwa la moto...hallleluyaaaaah
ahahahahahaha....duuu ebwanaheeeeeeeeee kwani ngono ina tofauti gani na tendo la ndoa?.....haya mambo ya wanandoa kwenda guest au nyumba za wageni mie nadhani ni ngono na sio tendo la ndoa.....
....UZINZI NA UASHERATI NA NGONO YOOOTE ni kwenye ziwa la moto...hallleluyaaaaah
AMMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN
NEEMA YA BWANA IWE NAWE ..............TUSOME 1WAKORINTHO 5:16