Wanandoa mnawezaje kuvumiliana kwenye hii hali?


ila hivi mtu unawezaje kumsema mtu uliyekua unalala nae mnadinyuana hiyo guts ya kusema ni kibamia sijui blah blah hua inatoka wapi mweee[emoji848]
 
unga tu maana kuna raia imetoa povu nimeona screenshot kwenye group flani ni hatari.
View attachment 1569784
uwiii aibu naona mimi huku πŸ€¦πŸΎβ€β™€οΈ

ila huu ni utoto na ulimbukeni tena sio wanawake tu hadi wanaume pia unakuta anakazana mara mtu mwenyewe gogo sijui bwawa aah jamani
 
uwiii aibu naona mimi huku πŸ€¦πŸΎβ€β™€οΈ

ila huu ni utoto na ulimbukeni tena sio wanawake tu hadi wanaume pia unakuta anakazana mara mtu mwenyewe gogo sijui bwawa aah jamani
Mambo ya kishamba sana.
 
Namna ya kukabiliana na hizo changamoto utaijua siku ukioa......

Na haiwezi kufanana kati ya couple moja na nyingine....na ndiyo maana hakuna chuo cha mapenzi au ndoa..
 
ila hivi mtu unawezaje kumsema mtu uliyekua unalala nae mnadinyuana hiyo guts ya kusema ni kibamia sijui blah blah hua inatoka wapi mweee[emoji848]

Binadam tumetofautiana sana kuna watu hawana aibu wala huruma hata chembe, haofii chochote kukuvua nguo hadharani akidhani kuwa anajiridhisha au kukukomoa.
 
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]salute
 
Mawazo ya kijinga sana haya!!!
 
Sijaolewa lakini kuna kipindi nilikua nikienda kwa ex wangu hata nikae wiki sibanwi na haja kubwa lakini the moment nikifika tu mlango kwangu sijui ilikua inatoka wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Anyways nilitaka kuchangia tu na mm... ila if I was married or living in ntakua na poo mda bae hayupo nyumbani
 
Sio kila mtu ni mpenzi wa hizo air freshener. Bora vile vya toilet ambacho chenyewe ni unaning'iniza toilet tu kinavuta harufu... Air freshener za kupuliza wengine wana allergy na manukato.
Sasa ukorofi huo madam
 
Huu uzi umeletwa namwananchi mnyonge kwelikweli ila kwasasa anauelekea uchumi wakati ndio anawaza jinsi yakuishi nahuo uchumi wakati....
 
Ushuzi wa bae haunuki.

Kama unapuu nnya inanuka sana hapo ni wewe tu na matatizo ya mlo wako usifikiri binadamu wote tuko sawa...
Ni kwel,niliwah kupanga chumba ambacho kpo Karbu na choo Kuna binti mmoja mzuri alkuwa akiingia choon wakat huo naosha vyombo nje ya chumba changu Karbu na choo lakin nilikuwa sihisi harufu yoyote mbaya,ila mim nilikuwa nikiingia ilikuwa n balaa ila ukiwa hunywi maji sana unakunya mav yanayonuka sana
 
Wanaume wenzangu huwa nawashangaa,akiwa na vipesa vchache atanunua passo,vitz au ist Yale mahummer na mengine yenye gharama anayaacha lakin kwa mwanamke anataka amilik yoyote hajui kuwa wanawake nao n kama magar lipo la vbosile na lipo la mwalimu wa msingi
 
Hawa watoto wapelekwe Facebook huku wanajaza saver tu, hilo swali amuulize baba yake au mama yake
 
Ukikumbuka kiapo cha shida na Raha..harufu yote unaisahau..unaweza jikuta unataka kuingia alipo mkapige Mambo yenu burudaani..kale kaharufu unaiona vanilla hii hapaπŸ˜‹
 
Ukiacha na mwenza wako halaf ukawa unamuombea mabaya hii itakutesa kila hatua yake moja itakua inakuumiza lakini ukimuombea mema na akifanikiwa haitakutesa sana kwa sababu utaamini dua zako zipo pamoja nae

Sent from my SAMSUNG-SM-G935A using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…