Wanandoa msilaumiane; fanyen mapping za familia zenu!!!

Wanandoa msilaumiane; fanyen mapping za familia zenu!!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Bwana yesu asifiwe
pengine leo unaweza pata soln ya matatizo yako ya miaka nenda rudi hii ni kwa neema ya mungu tu
ndugu mpendwa pengine umekuwa na shida mbali mbali za familia ikiwemo matatizo ya ndan ya ndoa ambayo
kwa sheria za jf atuwezi kuzitaja rasmi ,,,na pengine umekwenda kwa waganga kutafuta soln ya matatizo
yako yuko mganga mmoja mkuu kuliko wote yesu yeye aitaji damu yako wala kumuua mamako wala babako ama
kumfanya zezeta mwanao ili ndoa isimame...yeye anaitaji ukaribu wako na yeye na kutimiza aliyoyasema basi

nikweli ngumu lakini ukweliupo kuna watu wanateswa na visasi vya familia ama ukoo..ndugu zanguni nasema hivi nikiwa miongoni mwa uukoo wa visasi...lakini ukiwa na mungu atakufunulia na kukujulisha nini cha kufanya..wanandoa wengi mmeishia kutiana visu kututkana kuleteana barmed kwenye vyumba vya kulala mkijua soln ya matatizo yenu la hasha ,,mnaitaji kufanya mapping ya familia zenu mlikotoka ..kuna familia wao kuanzia babu mzaa babu wao walikuwa ni kuchapana makofi na kusihia kutengana,,wapo wao wana allerge ya kutukanana na wake zao yaani we hata utandokeje upikeje akirudi wao ni matusi mtindo mmoja na ukitoka anaoa mwingine,,so ni wajibu wako wewe ulioolewa ufanye mapping hata kabla ya ndoa sikwambii ukijua mpiganaji ukimbie no..anza kufanya maombi ya kuondoa hiyo spirit ..else utakula kichapo kwenye ndoa mpaka umkumbuke bibi aliekuzalia bibiako ambae ujawahi kumwona.....swala muhimu sio mwanamke tu hata kwamwanaume unaweza oa ukakuta mwanamke yaani yeye ni outing mtindo mmoja huna yuko na buzi sio yeye yule ana roho kapandikizwa kutoka kwenye famy yao ukiangalia mapping unakuta labda mama ke ama babu yake aliachika kwasababu ya umalaya ..stukani naweka wazi ujue wapi pa kukimbilia...

Wapo wanaooana wakijua kabisa wanaenda kupigwa sikufichi iko wazi..kuna jiranyetu alikuwa anapigwa namchumba wake kila siku humu ndani na iewachukua mwaka tu juzi kati siku tano kablaya ndoa kala kichapo nikamwambia wife usitoke kabisa...this time wacha wauwane..unajua ukipewa sumu ya panya na sumu ya dawa zile za kahawa unaambiwa chagua unywe ipi unaamua kukimbilia utakayokufa mapema huna budi kuachwa uelekee huko...

Ndugu zanguni nimeona watu wakipona kupitia maombi ya mapping pengine familia yako unateswa na tatizo la

-umalaya wa mwenzako
-pombe
-wizi ;usingangae wapo wanandoa wanaibiana kila siku ,
-matusi
-kunyimana tunda la ndoa
niongelee hii kidogo waweza jiuliza vipi...zipo familia nyingi za wazee wetu zimelala nyumba moja vyumbatofauti ukikaa vizuri utaona mmoja wa wazazi wako alikuwa akimnyima mwenzako tunda la ndoa ama ili anunue vyakula nyumban ama kumkomoa ampe hela yamatumizi..hizi njia zimepitwa na wakati nakama bado watarajia kuoa ama umeoa na kijana usi nasema si su butu kufanya hili ..utaletewa kimada hapo nyumban sijui utamuuliza mungu yupi kinachoendelea??
-kurukiana ukuta
wapo wanandoa wameachana sababu yamwenzi mmoja kutaka tendo la ndoa kinyume na maumbile ...usikimbie ndoa yako kataa kufanya hayo mauchafu na huku ukimwombea Mungu abadilke soln sio kukimbia utaparamia Mnazi mwingine tofauti ladha tu ukasema nimemkosea nini MUNGU, huy ondio uliepewa fanya mapping yawezekana babu alikuwa akimrukia bibi ;ama baba anamrukia mama aijalishi yawezekana unashangaa mwanaume anafanya vile kumbe laana na kisasi kiko kwa wazazi wa mwanamke ,kutokana na wewe kuwa kitu kimoja namumeo unamwambukiza roho ya kurushan ukuta ..nasema koma koma tena komeni mchezo mchafunambaya katika dhambi shetan anaingia na wewe ukifika guest ama kwako ukamshawishi anafungua mlango na kukuacha mwenyewe....
-
na nyingine nyingi tu soln ni kuchunguz a upande wa wazazi wako na wa mwenzako wanamatatizo gani kemea usilale tumia usiku kuteka kumiliki usiku shetani anasaga mwno tuache maombi ya mchana ....pekee washa moto dai kataa kisukari presha ...wewe baba kafa na presha /kisukari mama hiko hiko babu hiko hiko na wewe una presha miaka 26 kama sio laana ni nini kataa njoo friday tankibovu kila ijumaa saa 600pm-1000pm tunakataa laana za ukoo na familai na mengine mengi tu;;mungu akubariki abadilishe ndoa yako ..uwe na furaha na amani

wenu
mpendwa pdidy
 
Karibu mzee diddy,...maake unazirusha post kama kawa
 
Back
Top Bottom