Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,018
- 2,130
[emoji3][emoji3][emoji3]Wewe umejuaje hayo?
Du!!Mwanaume hajakamilika, ndani ya mwili wake hauko sawa;pia wewe mwanamke usiwe kama gogo,muwekee mitego/mazingira ili mwenzi wako awe na hisia na wewe.
Ndio hivyo mkuu,waambie hivyo viungo vinatakiwa vifanye kazi, kuwepo hapo sio urembo.Du!!
Wanakaa et! bidada wakati mwingine anapiga selfie tuWiki 2 ? Acha mchezo
Et hii imekaaje wanandoa wapya hamna mtoto hamna ugomvi mnamaliza wiki 2 hamjasex na mnalala kitanda kimoja shuka moja naked...
hamna majukum makubwa Sana yakuwafanya muwe busy et hii imekaa au nikawaida?
Ndoa haina mwaka
Huyo bidada anafanya hayo kwa kuvutia hisia kwa nani? Hao wana ndoa kila mmoja ana hisia kwa mwenzake?Wanakaa et! bidada wakati mwingine anapiga selfie tu
Huyo mwanamke itakuwa kaolewa na James delicious