Wanandoa wa jumamosi wekeni mafuta full tank gari husika

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Ndugu wapendwa
kwa wanaotarajia kuoana siku ya jumamosi ni vyema mkaweka vyombo vyenu vya magari
kupunguza sababu za kutofika kanisani..mwisho na watakia mgao huu wa mafuta wa ngeleja
hope mtawahi kufika makanisan na kutimiza ahadi ya mungu
kila la kheri
 
wamekusikia bika shaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…