Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Kuna watu wanapitiaaa mapitoo lo hata sisemi. Janaa nilikuta mada moja kanisanj wanaijadili nkawa hoii
Kijana ana watoto wawili alizaa njee. Mwanamke alieoana nae ana mtoto mmoja nae alizaa nje. Wakapendana wakaamua tuishi pamoja. Wana mwaka sasa kila kona kila style wapii hawajapata mtoto.
Nawaza mpaka sasa nani mchawi? Ama wale wapendwa wao waliowaacha?