Dunia ina mambo sio siri🤣Kuna watu wanapitiaaa mapitoo lo hqtq sisemii
Janaa nilikuta mada moja kanisanj wanaijadili nkawa hoii
Kijana ana watoto wawili alizaa njee
Mwanamke alieoana nae ana mtoto mmoja nae alizaa nje
Wakapendana wakaamua tuishi pamoja
Wana mwaka sasa kila kona kila style wapii hawajapata mtoto
Nawaza mpaka sasa nani mchawi??
Ama wale wapendwa wao waliowaacha??
HahahaMwenye uhakika wa mtoto hapo ni mwanamke. Mwanaume akajicheki fresh kwanza
Umeanza lini dharauHahaha
Wewe ni TAI JIKE kweli
Wabongo acheni kurogana
Wabongo acheni kurogana sasa unaenda mpaka Makete kwenda kufanya yako ili iweje kwa mfano?Umeanza lini dharau
Mwanaume akapime hao watoto ikiwa ni wakeKuna watu wanapitiaaa mapitoo lo hqtq sisemii
Janaa nilikuta mada moja kanisanj wanaijadili nkawa hoii
Kijana ana watoto wawili alizaa njee
Mwanamke alieoana nae ana mtoto mmoja nae alizaa nje
Wakapendana wakaamua tuishi pamoja
Wana mwaka sasa kila kona kila style wapii hawajapata mtoto
Nawaza mpaka sasa nani mchawi??
Ama wale wapendwa wao waliowaacha??
Simple tu, walipotoka walipaachaje? Maagano gani walikuwa nayo na wenzi wao wa zamani?Kuna watu wanapitiaaa mapitoo lo hqtq sisemii
Janaa nilikuta mada moja kanisanj wanaijadili nkawa hoii
Kijana ana watoto wawili alizaa njee
Mwanamke alieoana nae ana mtoto mmoja nae alizaa nje
Wakapendana wakaamua tuishi pamoja
Wana mwaka sasa kila kona kila style wapii hawajapata mtoto
Nawaza mpaka sasa nani mchawi??
Ama wale wapendwa wao waliowaacha??
Niwape namba ya mganga wa kufungua?Mkuuuu 💯 wakawa wake ingawa wanasema wameshapima wote eako sawaa awaelewi shida nnn..
Ukumbuke kuna wafunga vizazi pia oooh
Mijimbayaahii