Ahsante honey. Leo tutaimba wimbo mmojakwanza wajue mtoto ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
.........Baba Askofu,wewe kanisa lako hamsomi biblia? Biblia inasema .........zaeni mkaongezeke.Na ndio maana hao waliokosa watoto walimng'ang'ania Mungu mpaka awape watoto.Tatizo letu siku hizi maendeleo ni mengi....Lakini lengo mojawapo la ndoa ni watoto.Naomba kujua.... Lengo la kuoana ni Kupata watoto??
Mi nilidhani kusaidiana katika maisha (kwa shida na raha)
.........Baba Askofu,wewe kanisa lako hamsomi biblia? Biblia inasema .........zaeni mkaongezeke.Na ndio maana hao waliokosa watoto walimng'ang'ania Mungu mpaka awape watoto.Tatizo letu siku hizi maendeleo ni mengi....Lakini lengo mojawapo la ndoa ni watoto.
Asante Charity... Tunasoma Baibo, lakini kumbuka Mungu alimuumba Adam kwanza, then akasema "nitampatia msaidizi" ndio maana akamtoa katika ubavu wa Adam... baada ya hapo na pilika za hapa na pale ndio akawaambia kwamba "zaeni muongezeke mkaijaze nchi"... Lakini kwanza ilikuwa ni kusaidiana
Hili tatizo linakuzwa na pressure za watu wa pembeni sana... lakini inatakiwa watu waombe muongozo wa roho mtakatifu
Naomba kujua.... Lengo la kuoana ni Kupata watoto??
Mi nilidhani kusaidiana katika maisha (kwa shida na raha)
sasa kuzaa na kuongezeka LAZIMA MUOANE?.........Baba Askofu,wewe kanisa lako hamsomi biblia? Biblia inasema .........zaeni mkaongezeke.Na ndio maana hao waliokosa watoto walimng'ang'ania Mungu mpaka awape watoto.Tatizo letu siku hizi maendeleo ni mengi....Lakini lengo mojawapo la ndoa ni watoto.
.........Baba Askofu,wewe kanisa lako hamsomi biblia? Biblia inasema .........zaeni mkaongezeke.Na ndio maana hao waliokosa watoto walimng'ang'ania Mungu mpaka awape watoto.Tatizo letu siku hizi maendeleo ni mengi....Lakini lengo mojawapo la ndoa ni watoto.
Nasubiri jibu la swali hili ili niwahi Drogba Vs Ronaldo.sasa kuzaa na kuongezeka LAZIMA MUOANE?
need i say more?......The Following User Says Thank You to Chrispin For This Useful Post: Teamo (Today)
Naomba kujua.... Lengo la kuoana ni Kupata watoto??
Mi nilidhani kusaidiana katika maisha (kwa shida na raha)
namsubiri charity hapa!...Nasubiri jibu la swali hili ili niwahi Drogba Vs Ronaldo.
Ahsante honey. Leo tutaimba wimbo mmoja
Kupatikana au kutopatikana kwa watoto ni MPANGO WA MUNGU!
Laleni mmegane 24/7. Mvua inyeshe jua liwake. Upepo uvume bahari ikumbwe na mawimbi makali. Mwezi ung'ae Jua lichome. Mungu ndiye muamuzi wa KUPATA WATOTO.
Sasa temeni mate chini na mtubu dhambi zenu.