Wanandoa wasiobahatika kupata watoto wafanyeje?

need i say more?......
Nap!
babu yangu alizaa watoto 24. kwa mkewe alizaa naye saba tu! So kama ni kuzaa, si lazima kuoa. Na pia kuoa si lazima kuzaa

Najua kuna watu watabisha.
 
Duh School mate upo fastaa - kumbe una kina honey humu humu JF. safi saana. nifanyie mpango na mimi. tutakutana kule kwa wakubwa siyo hapa lakini.

Kuhusu swala la watoto ktka ndoa naunga mkono wazo lako - Yote kwa mungu Muweza......
Hahahaha! Mate, ngoja ntakufanyia mpango through PM. LOL!
 
Naona kimya ngoja nikamuwahi Drogba.

Samahani mkoloni wangu. Sina jinsi, hii mechi siwezi kuiacha.

Endeleeni na maombi ndugu zangu watumishi. Ili watu waujue mpango wa Mungu.
 
Nap!
babu yangu alizaa watoto 24. kwa mkewe alizaa naye saba tu! So kama ni kuzaa, si lazima kuoa. Na pia kuoa si lazima kuzaa

Najua kuna watu watabisha.
nani atabisha ndugu,
UKO SAHIHI KABISA
 
Nap!
babu yangu alizaa watoto 24. kwa mkewe alizaa naye saba tu! So kama ni kuzaa, si lazima kuoa. Na pia kuoa si lazima kuzaa

Najua kuna watu watabisha.

mie sikubishii Chrispo... sio lazima kuzaa...halafu unaweza ku adapt if u really wants a kid...
 
Nap!
babu yangu alizaa watoto 24. kwa mkewe alizaa naye saba tu! So kama ni kuzaa, si lazima kuoa. Na pia kuoa si lazima kuzaa

Najua kuna watu watabisha.

Mzazi wako yuko kundi gani hapo... Samahani kama nitakukwaza (Kapate kwanza divai)
 

Hili ndilo tatizo kubwa... watu wanatafsiri Baibo ku-suit matakwa yao... na Mtu anapoolewa au kuoa wakapitisha mwaka hawajapata mtoto then ndugu na wapagani wenzao wanaanza kuongea, as if wanaumba wao... Angalia Hapa..

Genesis 2:18 "The LORD God said, "It is not good for the man to be alone. I will make a helper suitable for him."

19 Now the LORD God had formed out of the ground all the beasts of the field and all the birds of the air. He brought them to the man to see what he would name them; and whatever the man called each living creature, that was its name. 20 So the man gave names to all the livestock, the birds of the air and all the beasts of the field.
But for Adam [h] no suitable helper was found. 21 So the LORD God caused the man to fall into a deep sleep; and while he was sleeping, he took one of the man's ribs and closed up the place with flesh. 22 Then the LORD God made a woman from the rib [j] he had taken out of the man, and he brought her to the man.

23 The man said,
"This is now bone of my bones
and flesh of my flesh;
she shall be called 'woman, [k] '
for she was taken out of man."

24 For this reason a man will leave his father and mother and be united to his wife, and they will become one flesh"
 
Asikwambie mtu eti kuoana silazima upate mtoto!!.....Nasema ndiyo nimpano wamungu lakini kumbuka bila mtoto Amani hakuna!! mwanamke siku zote za maisha yake uota mtoto kama hana ujihisi jamii inamsema anakuwa na inferiority complex!!Hapo uanza kujutia waliyoyafanya usichana wao mashuleni vyuoni!!!Ndiyo maana akibahatika akapata mtoto kwenye miaka 43 ufarijika sana mpaka kumsahau mume nakuwa busy na mtoto!!!!:ear:
 
Kama ikishindikana watoto wanaweza kuchukua watoto yatima wanaoshi katika mazingira magumu na kuwalea.Ni makubaliano kati ya watu wawili

Kuadopt ndugu yangu kunataka moyo si kila wana ndoa wasiobahatika kuwa na watoto wanataka watoto kupitia njia hii...si uliwasikia wale Wazazi waliomtia mtoto mdogo nadhani alikuwa under 12 years kwenye ndege pekee yake toka Marekani hadi Russia baada ya kushindwa kumlea. Mapenzi kwa mtoto wa kuzaa wenyewe na yule wa kuadopt kwa wana ndoa wengi hayawezi kuwa sawa hata siku moja.

 
Kuachana si vema maana itakuwa kama mnaoana tu ili mzae watoto wakati ndoa ni zaidi ya kuzaa watoto.
 
Nilitarajia kwamba mtamshauri mwanandoa asiye na tatizo azae mahala kwa makubaliano na mwenzie alete home
 
Wana JF mnawashauri nini Wanandoa kama hawa?
Watoto ni zawadi toka kwa MUNGU kwahiyo suala muhimu kwao ni kuomba pasipo kuchoka wakati wakitafakari ukuu wa MUNGU kwa Ibrahimu na Sarah kwa jinsi alivyowapa mtoto wao Isaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…