Wanandoa wengi wanabakana..

Asante kwa ushauri!

pole uda'a..naona umeteseka sana na ndoa ndoana uliyopo...pse karibu huku-niliko upate japo pozeo la moyo wako...sio kweli kwamba midume yote chini ya jua ni mibakaji kama ulekuwanaye anayekutoa chozi mtoto mzuri kama wewe...pole sana baby uda'a...

nisingependa kuona unatokwa na chozi hata tone moja zaidi ya hilo linalodondoka pichani.. tafadhali dear uda'a go get ur lovely smile.. i know smile kama lile la siku ya harusi yako bado lipo..pse come-on uda'a.. smile for me dear..smileee pleaseee
 
nimepata tabu kukuelewa,but thanks nimekupata in the end...
mapenzi ya kubakana yana raha yake sema isiwe routine,nayo yatachosha once in a while tumia nguvu kupata haki yako Pdidy...some of us women,,,love it!:dance:
 
Wengine bwana, kulingana na utamaduni fulani TZ, hakupi mpaka utumie nguvu fulani. Nadhani lazima elimu hii isambae ili kutokuwepo kubakana kuendane na kuridhia kutoa kwa hiari mzigo. Kama sivyo kubakana kutazidi kushamili na ndo chanzo cha HIV and Aids
 
nimepata tabu kukuelewa,but thanks nimekupata in the end...
mapenzi ya kubakana yana raha yake sema isiwe routine,nayo yatachosha once in a while tumia nguvu kupata haki yako Pdidy...some of us women,,,love it!:dance:

appreciated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…