Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Roho ya mwanadamu sasa hivi ina thamani ya bei ya miguu ya kuku ile inayochomwa na kuuzwa jioni, ROHO ZETU ZIMEKUWA CHEAP SANA.
Utu wa mwanadamu sasa hivi una thamani ya nguo ya ndani(vyupi) vyepesi vile vya buku buku vile ambavyo ukiruka tambo unasikia mlio wa dj yani zzzzzz imechanika, UTU WETU UMEKUWA CHEAP SANA.
Watu wanahesabiwa siku kwa mafungu.
Mungu atulinde.