damu ya mzee haitowaacha salama mkuu nchi nzma imesikitika hitalipwa tu mungu atatendaDaah hatari sana kama huyu Mzee anatekwa na kuuawa harafu wahuni wanaoteka wanakuja kujisifia kwenye media kuhusu utekaji wa maporini..
πππUtu wa mwanadamu sasa hivi una thamani ya nguo ya ndani(vyupi) vyepesi vile vya buku buku vile ambavyo ukiruka tambo unasikia mlio wa dj yani zzzzzz imechanika,
Nilipopata hiyo taarifa niliumia sana aisee mzee wa miaka hiyo wanamuua kisa mambo ya siasa aisee majambazi yapo mtaani anakuja kuuawa ambae hana hatia kabisa pana jamaangu jana kashindwa kula kabisa anamfahamu viziuri huyo Mzee.damu ya mzee haitowaacha salama mkuu nchi nzma imesikitika hitalipwa tu mungu atatenda
hata mm toka hii tarifa niipate jana roho imeniuma na inazidi kuniuma japokua mzee simjui na nimejikuta nimewachukia sana aisee hakuna tena amaniNilipopata hiyo taarifa niliumia sana aisee mzee wa miaka hiyo wanamuua kisa mambo ya siasa aisee majambazi yapo mtaani anakuja kuuawa ambae hana hatia kabisa pana jamaangu jana kashindwa kula kabisa anamfahamu viziuri huyo Mzee.
Umejibu kwa Busara sana mkuu angekua Mwamba flani hivi wakuitwa Stress Challenger, Vishu Mtata au Moisemusajiografii pange chimbika kwa navyowajua kwa kupenda nongwa!Daah usinitafutie Ban wewe mtoto wa Kike..
Najua jinsi ya kwenda na vijana waliokulia vijijini hao wao kutukana wanaona Ujanja sana ila wakitukanwa wao wanaweza kwenda mpaka kwa Mganga waliwe Jogoo tena..Strees Challenger anakua kama ametafuna pili pili huwa nacheka sana.Umejibu kwa Busara sana mkuu angekua Mwamba flani hivi wakuitwa Stress Challenger, Vishu Mtata au Moisemusajiografii pange chimbika kwa navyowajua kwa kupenda nongwa!
ππ
Inauma sana kwa wapenda Utu!Roho ya mwanadamu sasa hivi ina thamani ya bei ya miguu ya kuku ile inayochomwa na kuuzwa jioni, ROHO ZETU ZIMEKUWA CHEAP SANA.
Utu wa mwanadamu sasa hivi una thamani ya nguo ya ndani(vyupi) vyepesi vile vya buku buku vile ambavyo ukiruka tambo unasikia mlio wa dj yani zzzzzz imechanika, UTU WETU UMEKUWA CHEAP SANA.
Watu wanahesabiwa siku kwa mafungu.
Mungu atulinde.
Unanionea ndgu yanguUmejibu kwa Busara sana mkuu angekua Mwamba flani hivi wakuitwa Stress Challenger, Vishu Mtata au Moisemusajiografii pange chimbika kwa navyowajua kwa kupenda nongwa!
ππ