Wanangu wa bodaboda ni kama mmegoma kwenda makanisani!

KUNA JAMAA YANGU UWA NAMUONA ANAENDA CHURCH KIMAZOEA KABISA MAANA NI MUHUNI SANA ATA MATENDO YAKE SIO KABISA NA KILA JUMAPILI LAZIMA AENDE CHURCH ATA KAMA ANA HANGOVER AU KATOKA KUZINI USIKU WAKE

Bora huko church anakoenda, ataokoteza mawili matatu na ipo siku ataamua kuyafanyia kazi..!
Kuliko yule asiyeenda kbs , huyo siku zote atakuwa anakijaza kichwa chake mauzauza ya kijiweni na kwenye mabaa.
 
Reactions: Cyb
๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒMTOA MADA FANYA KAZI MAFANIKIO YA PESA HAYANA MIUJIZA,HUKO CHACHI HAKUNA KITU UTAPATA ZAIDIZAIDI WANATAKA WAKUKUIBIE HIVYO VIJISENT VYAKO KWA MGONGO WA SADAKA.

WEWE UKITAKA MAFANIKIO WANAKWAMBIA FUNGA MACHO TUKUOMBEE,WAO WAKITAKA KUFANYA PROJECT ZAO WANAWACHANGISHA SADAKA๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

๐Ÿ“ŒKAA KIJANJA WAJINGA NDIO WALIWAO!!!
 
Washagundua sadaka pia ni fedha halali ya BOT ambayo wao wanaitaka pia na boss mwenye pikipiki yake anaotaka itoke kwa hyo hyo boda. Kwahyo wanalinda mfuko kama wanavyolinda kuporwa na madem wakali
 
Achana na manabii wauza maji nipo hapa nazungumzia Kanisa ni sehemu sahihi kwa vijana wote hawatoondoka bure watapata mafanikio katika mazingira rahisi na sio kuhenya kuna maarifa makubwa kwenye neno la Mungu mtu aliyapata anabadilika kutoka kuwa masikini Hadi utajiri
 
Waombeeni viongozi wa ccm waliopewa dhamana wao ndio wamebeba hatma ya vijana wengi wa mtaani!

Kuna wengi waliochanganyikiwa sababu ya maamuzi mabovu ya kwao!

Boda boda ni matokeo ya vijana hasa wasomi kukosa hatma ya maisha Yao na hii inatokana na maamuzi mabovu ya waliopewa dhamana!!
 
PELEKA UJINGA HUKO WATAPATA NINI ZAIDI YA KUOMBWA SADAKA!!!

DINI INGEKUWA NA MAANA YOYOTE DUNIA INGEKUWA MAHALI SALAMA ILA DINI NI CHOMBO CHA KUTAWALA MAZOMBIE KAMA WEWE.KAFANYE KAZI HAKUNA FREE LUNCH HAPA DUNIANI.

๐Ÿ“Œ๐Ÿ“Œ๐Ÿ“ŒACHA HUO UJINGA WA DINI,FANYA KAZI MAFANIKO HAYANA HURUMA.NA HAYASIKII VILIO VYA WAVIVU!!!
 
Onho ๐Ÿค”
 
B
Bila shaka wewe ni atheist
 
Mbona bodaboda waislamu hawakosekani misikitini?! Kuna uwezekano huko kanisani sadaka zinakuwa nyingi kupita kiasi wakati vijana bado wanajitafuta! Punguzeni sadaka na michango watakuja tu sivyo tutawasilimisha !.
 
Mbona bodaboda waislamu hawakosekani misikitini?! Kuna uwezekano huko kanisani sadaka zinakuwa nyingi kupita kiasi wakati vijana bado wanajitafuta! Punguzeni sadaka na michango watakuja tu sivyo tutawasilimisha !.
Sadaka ni lazima ziwe nyingi kila sadaka Ina msaada wake ni vile mtu anahitaji Nini na sadaka yake ni ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ