Wanangu wa Mwembeyanga, wakishow love kwa queen wa WCB, Darlin

Hahahhaha.... jamaa anakula chabo tu hapo wazo la mziki kashalitoa kichwan
yan hapo kichwa kidogo ndo kimechukua nafasi yake ya uongozi!!si unaona alivyonyong'onyea!!
wanawake nyie mna dhambi yaan hapo kafanya hivyo makusudi!!
 
binti ana paja gumu kama la bodigadi wa daimond khaa!!!
Wababa kuna ashki kweli hapo hahaaa???
mwanamke anaye mchukia mwenziye ni shetani wa kike ... wivu mtupu..kaoneshe lako fake dude
 
Huyu sijui amekuaje siku hizi, hata hajitizami alivyo avae nguo za kuendana nae anaonekana kituko tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…