Wananiandama kisa kanizidi miaka mitatu, niendelee na mpango wa kukamilisha uchumba?

matimbanyula

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
268
Reaction score
120
Ndugu wana jamvi nisadieni kwenye hili,

Mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu, kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba.
 
Ndugu wana jamvi nisadieni kwenye hili mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba
Anaolewa na wewe au ulimwengu?

Kipindi unamtongoza, walimwengu walishiriki eneo gani?
 
Ukiishi kwa kusikiliza ya walimwengu utapata tabu sana na itakugarimu, utaacha mtu sahihi kisa kuwaridhisha walimwengu ambao kamwe hawaridhiki.
 
Ndugu wana jamvi nisadieni kwenye hili,

Mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu, kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba.
Kwa nn walimwengu wajue mambo yako ya siri, Vitu vingine hua mnavitaka wenyewe.
 
Ndugu wana jamvi nisadieni kwenye hili,

Mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu, kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba.
Kama unaoa walimwengu basi muache haraka sana
 
Ndugu wana jamvi nisadieni kwenye hili,

Mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu, kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba.
Unawaolea walimwengu au?

Umri namba tu usiogope miaka m3 si mingi nyie ni age mate kabisa
 
Ndugu wana jamvi nisadieni kwenye hili,

Mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu, kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba.
Usisahau
 
Ukifika 45 yeye akiwa 48 urudi kwa walimwengu😜

Kifupi umri ni namba tu lakini hakikisha unajua kuzihesabu vizuri, kuna raha yake kumzidi bibie 4-10yrs asee!!
 
Back
Top Bottom