matimbanyula
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 268
- 120
Walimwengu walijuaje umri wenu?Ndugu wana jamvi nisadieni kwenye hili mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba
Anaolewa na wewe au ulimwengu?Ndugu wana jamvi nisadieni kwenye hili mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba
Kwa nn walimwengu wajue mambo yako ya siri, Vitu vingine hua mnavitaka wenyewe.Ndugu wana jamvi nisadieni kwenye hili,
Mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu, kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba.
Kama unaoa walimwengu basi muache haraka sanaNdugu wana jamvi nisadieni kwenye hili,
Mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu, kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba.
Unawaolea walimwengu au?Ndugu wana jamvi nisadieni kwenye hili,
Mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu, kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba.
UsisahauNdugu wana jamvi nisadieni kwenye hili,
Mpenzi wangu kanizidi miaka mitatu, kwangu mimi sio tatizo ila walimwengu wamelibebea bango mpaka naogopa kukamilisha mpango wa uchumba.
Walimwengu walijuaje umri wenu?