we handsome mi dume la mbegu!!, chukua dem mi nije nitumie. Ha..ha..Come down ma men fact iz jana wakat na tafuta habari za Rostam aziz ndo wakaniletea hii forum mi ni mgeni humu jamvini huyo HANDSOME wa UDOM ndo yupi? Hivi kweli UDOM pale kuna ma handsome kweli pale? Plz don't humiliate me,help me pliz.
chuo gani hapa Tz uyu jamaa atapata,wakat alipelekwa handsome university baada ya kupata zero hapa bongo.Nikushauri k2 m2 wangu,apply chuo upya hapa bongo,uanze 1st yr,maana hyo elimu uloifata huko malaysia haijakukomboa bado..
teh!teh!teh,au arudi 2 huko alikotoka.chuo gani hapa Tz uyu jamaa atapata,wakat alipelekwa handsome university baada ya kupata zero hapa bongo.
mi ni mgeni na nimeijua jana blog I got ma fist degree from kualalumper univasity malesyia now on nipo kitaa natafuta job.But there iz two girls who drive me so crez huyu wa kwanza kiukweli ninampenda sana bt baada ya kumwambia hakunijibu ki2 then after tukaendelea na urafiki bt kila nikimkumbusha kuhusu jibu anacheka alafu anasema bado anafikiria so juzi kati ni kambana sana akanijibu Eti mi ni HANDSOME sana so eti ninamdanganya na haamini kama kweli ninampenda! Kiu kweli hajakosea coz I so handsome na hata nikivaa makafaulaya bado huwa na ng'ara sana and I proud of it.Nikajaribu kumbembeleza lakini wapi! Bas nikamchunia kama 3weeks mwenyewe akaanza tena mara kunibeep,sometimes ana tex bt nikimkumbusha anadai eti nina mtania coz mi ni HANDSOME sana na siyo type yake!huyu mwingine yeye ananipenda sana but simfili kivile japo ninashawishika kumpenda coz naona anamuelekeo ijapokuwa huyu wa kwanza ndo ninampenda zaidi !! Kiukweli wa kuu wananichanganya sana hawa mabinti plz help me.
kwi!kwi!kwi!kwiwewe rudia upya chuo.habari za uhandsome peleka kwenu ms..n..g..e,yan na elimu ya chuo uliyonayo bado unawaza uhandsome, huwezi pata kazi popte b..w..eg..e ww.juzi tu mwingine alileta kama yako katokea UDOM leo ww umetokea malysia,hivi vyuo vya sasa hivi vinatoa product mbovu namana hii.back to the topicjianadae kupakatwa na huo uhandsome wako, jiulize kwa nini asilimia kubwa ya wanawake beaty hawaolewi na hata wakiolewa hawadumu kwenye ndoa, ulivyo kilaza sidhan kama utaweza kufikiri sawasawa.na ujue mwanamke yoyote haangalii mambo ya uhandsome ama la .wao wanachojali perfomance yako as a real man,. mwanaume wa kweli hawez act kama wewe. be realistic bi.t.ch boy.
mi ni mgeni na nimeijua jana blog I got ma fist degree from kualalumper univasity malesyia now on nipo kitaa natafuta job.But there iz two girls who drive me so crez huyu wa kwanza kiukweli ninampenda sana bt baada ya kumwambia hakunijibu ki2 then after tukaendelea na urafiki bt kila nikimkumbusha kuhusu jibu anacheka alafu anasema bado anafikiria so juzi kati ni kambana sana akanijibu Eti mi ni HANDSOME sana so eti ninamdanganya na haamini kama kweli ninampenda! Kiu kweli hajakosea coz I so handsome na hata nikivaa makafaulaya bado huwa na ng'ara sana and I proud of it.Nikajaribu kumbembeleza lakini wapi! Bas nikamchunia kama 3weeks mwenyewe akaanza tena mara kunibeep,sometimes ana tex bt nikimkumbusha anadai eti nina mtania coz mi ni HANDSOME sana na siyo type yake!huyu mwingine yeye ananipenda sana but simfili kivile japo ninashawishika kumpenda coz naona anamuelekeo ijapokuwa huyu wa kwanza ndo ninampenda zaidi !! Kiukweli wa kuu wananichanganya sana hawa mabinti plz help me.
Come down ma men fact iz jana wakat na tafuta habari za Rostam aziz ndo wakaniletea hii forum mi ni mgeni humu jamvini huyo HANDSOME wa UDOM ndo yupi? Hivi kweli UDOM pale kuna ma handsome kweli pale? Plz don't humiliate me,help me pliz.
sa atafute kazi kwa elimu gani aliyo nayo mkuu?kama kuandika 2 hawezi,huko kwenye kudeliver knowlegde ndo ataweza kweli?Dogo womens do not look for Handsome Guys, but they look for MAN. Be a man and u will one heart. Kujidanganya na uhandsome utaona siku zaenda na wanakuchezea tu. Onyesha msimamo kama mwanaume. Try to be different from the way they look at you. MWISHO TAFUTA KAZI ACHANA NA MAWAZO HAYO UTASHINDWA KUENDELEA MAANA KARIBU UTAANZA KUWAIMPRESS.
mi ni mgeni na nimeijua jana blog I got ma fist degree from kualalumper univasity malesyia now on nipo kitaa natafuta job.But there iz two girls who drive me so crez huyu wa kwanza kiukweli ninampenda sana bt baada ya kumwambia hakunijibu ki2 then after tukaendelea na urafiki bt kila nikimkumbusha kuhusu jibu anacheka alafu anasema bado anafikiria so juzi kati ni kambana sana akanijibu Eti mi ni HANDSOME sana so eti ninamdanganya na haamini kama kweli ninampenda! Kiu kweli hajakosea coz I so handsome na hata nikivaa makafaulaya bado huwa na ng'ara sana and I proud of it.Nikajaribu kumbembeleza lakini wapi! Bas nikamchunia kama 3weeks mwenyewe akaanza tena mara kunibeep,sometimes ana tex bt nikimkumbusha anadai eti nina mtania coz mi ni HANDSOME sana na siyo type yake!huyu mwingine yeye ananipenda sana but simfili kivile japo ninashawishika kumpenda coz naona anamuelekeo ijapokuwa huyu wa kwanza ndo ninampenda zaidi !! Kiukweli wa kuu wananichanganya sana hawa mabinti plz help me.
Come down ma men fact iz jana wakat na tafuta habari za Rostam aziz ndo wakaniletea hii forum mi ni mgeni humu jamvini huyo HANDSOME wa UDOM ndo yupi? Hivi kweli UDOM pale kuna ma handsome kweli pale? Plz don't humiliate me,help me pliz.
Mh!Ngoja nifikirie cha kuchangia!