Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
kwa kioo wang'arisha sura? I can't believe this!Tsup! Ma men iz true I wil never come back bt Nimeshajua kuwa kuna watu wanasura zilizokunjamana kama ngozi ya goti au ugali wa jana na nimewafahamu kupitia comment zao their so jelous! By de way ma people thank kwa mapost yenu ijapokuwa I'm feel so humiliated.Bt nipo comfortable.ila UHANDSOME siachi and now on nipo kwenye kioo na ng'arisha sura.
Tsup! Ma men iz true I wil never come back bt Nimeshajua kuwa kuna watu wanasura zilizokunjamana kama ngozi ya goti au ugali wa jana na nimewafahamu kupitia comment zao their so jelous! By de way ma people thank kwa mapost yenu ijapokuwa I'm feel so humiliated.Bt nipo comfortable.ila UHANDSOME siachi and now on nipo kwenye kioo na ng'arisha sura.

mi ni mgeni na nimeijua jana blog I got ma fist degree from kualalumper univasity malesyia now on nipo kitaa natafuta job.But there iz two girls who drive me so crez huyu wa kwanza kiukweli ninampenda sana bt baada ya kumwambia hakunijibu ki2 then after tukaendelea na urafiki bt kila nikimkumbusha kuhusu jibu anacheka alafu anasema bado anafikiria so juzi kati ni kambana sana akanijibu Eti mi ni HANDSOME sana so eti ninamdanganya na haamini kama kweli ninampenda! Kiu kweli hajakosea coz I so handsome na hata nikivaa makafaulaya bado huwa na ng'ara sana and I proud of it.Nikajaribu kumbembeleza lakini wapi! Bas nikamchunia kama 3weeks mwenyewe akaanza tena mara kunibeep,sometimes ana tex bt nikimkumbusha anadai eti nina mtania coz mi ni HANDSOME sana na siyo type yake!huyu mwingine yeye ananipenda sana but simfili kivile japo ninashawishika kumpenda coz naona anamuelekeo ijapokuwa huyu wa kwanza ndo ninampenda zaidi !! Kiukweli wa kuu wananichanganya sana hawa mabinti plz help me.
Nikushauri k2 m2 wangu,apply chuo upya hapa bongo,uanze 1st yr,maana hyo elimu uloifata huko malaysia haijakukomboa bado..

mnanchekesha wakuu huko malaysia alienda kuungana na wale waandamanaji wa Red shirt kaazi kweli kwelihahahaha, hana pass huyu atasoma chuo gani?afu niliwahi kuskia ma-cabaiser wote wameishia form two
Subiri mwakani nnampango wa kuanzisha shinndano la kumsaka handsome.
Hii ndio aina ya watanzania mnaotegemea wabadilishe Tanzania, Juha kweli wewe!
jamani huyu ndo handsome wa JF.....mzima lakini weye mamaaaaaaaaa