Wananicheka eti sina Girlfriend

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Yaani tukiwa kitaa marafiki zangu wenyewe ni kunicheka eti we ushakua tafuta girlfriend tena kibaya zaidi wanatumia neno "demu" mwishowe utakuwa lofa.

Sa nikajiuliza kwani mapenzi ni kitu kinachotokea chenyewe au ni wewe unapanga sasa nataka kuwa na girlfriend.

Mara ngoja nikamtongoze yule dada That ain't love. Love comes at an unexpected time.
 
Kaza mzee baba kama Yusufu kwa mke wa Potifa, hata wao hawapo kwenye mapenzi (Love) bali wapo kwenye "infatuation" tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…