Wanao ifahamu Tanga school of nursing

Wanao ifahamu Tanga school of nursing

Mboga sumu

Member
Joined
Jul 19, 2014
Posts
18
Reaction score
4
Kwa mwenye taarifa na Tanga school of nursing....Naomba anijuze. Hata kama join maelezo yao anayo anipe tafadhali.....Ela zenyewe za kibubu
shukran
 
Mimi kwa kifupisijakuelewa kwamba unahitaji nini kwenye hicho chuo kujiunga au kujua kama nicha pr au gv
 
Mimi kwa kifupisijakuelewa kwamba unahitaji nini kwenye hicho chuo kujiunga au kujua kama nicha pr au gv

mkuu naitaj nijue aada yao ik wezekana join instraction kma unayo nitumie....
Nashukuru nmechaguliwa hapo ktk hicho chuo......naitaj nijipange mapema
 
Back
Top Bottom