Wanao jua soko la uhakika la asali.

masagati

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
492
Reaction score
357
Ndugu zangu wana JF nipo kwenye utafiti wa kufahamu soko la uhakika la asali na bei zake, maana muda wowote kuanzia sasa nataka kuanza kufuga nyuki na nimesha andaa mpango mzima
kwa kuwa uzalishaji utakua mkubwa nataka kupata soko la uhakika lenye bei inayo endana na ghalama za uzalishaji.
kwa yeyote mwenye kujua hili anisaidie
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…