Wanao mtaka Fei Toto Taifa Stars, tulieni

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Nilisikitika mno kumsikia bwana Kazumali (mchambuzi wa soka E FM) akifanya kampeni ya kulalamika kwa nini mchezaji Fei Toto hakujumuishwa kwenye timu ya Taifa iliyokwenda Algeria.

Namkuali mno bwana huyu ila kwa hili alinifnya niamini kuwa kweli binadamu hatuko sahihi siku zote.

Hongera sana timu yote iliyoenda Algeria na kufanikiwa lengo la kwenda kucheza faiali za AFCON.

Ninawasihi wapenzi wa Fei Toto wasubiri tu uteuzi mpya atakuwemo na kwenda be huko AFCON
 
Hivi kweli ndio Uzi WA kupost kama huo???????

"Hakuna UMASIKINI MBAYA kama Umasikini wa FIKRA".

JK Nyerere.
 
Fei toto bado anauzito ambao unamkosesha balance. Anahitaji kufanya kazi yaziada kuweza kumudu umbile alilonalo.
Kipaji anacho ila kipaji bila kujitoa sadaka kwa kuachana na anasa hawezi kutoboa mwisho wake ata mfuata Ajibu.

Wakina Mess na CR7 wanamafanikio kwakua wanaishi maisha yakujitunza sana, mazoezi makali sana na muda mwingi wa kupumzika.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Huyo dogo anahitaji muda wa kutosha sana kurejea katika kiwango alichokuwa nacho wakati ule anaichezea Yanga.

Hivyo kocha alikuwa sahihi kabisa kuto kumuita kikosini. Na kuhusu huyo Bin Kazumari, ungempuuza tu. Maana huyo hana tofauti kabisa na yule Popoma wa humu jukwaani.
 
Nilisikitika mno kumsikia bwana Kazumali (mchambuzi wa soka E FM) akifanya kampeni ya kulalamika kwa nini mchezaji Fei Toto hakujumuishwa kwenye timu ya Taifa iliyokwenda Algeria.

Namkuali mno bwana huyu ila kwa hili alinifnya niamini kuwa kweli binadamu hatuko sahihi siku zote.

Hongera sana timu yote iliyoenda Algeria na kufanikiwa lengo la kwenda kucheza faiali za AFCON.

Ninawasihi wapenzi wa Fei Toto wasubiri tu uteuzi mpya atakuwemo na kwenda be huko AFCON
Unamkubali sana huyo kengemaji kwa lipi labda? Anapokuwa anaiongelea vibaya YANGA ndy unamkubali?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Huyo dogo anahitaji muda wa kutosha sana kurejea katika kiwango alichokuwa nacho wakati ule anaichezea Yanga.

Hivyo kocha alikuwa sahihi kabisa kuto kumuita kikosini. Na kuhusu huyo Bin Kazumari, ungempuuza tu. Maana huyo hana tofauti kabisa na yule Popoma wa humu jukwaani.
Huyo mpuuzi kazumali yupo kuichafua YANGA takataka huyo

Back
Top Bottom