Unamkubali sana huyo kengemaji kwa lipi labda? Anapokuwa anaiongelea vibaya YANGA ndy unamkubali?Nilisikitika mno kumsikia bwana Kazumali (mchambuzi wa soka E FM) akifanya kampeni ya kulalamika kwa nini mchezaji Fei Toto hakujumuishwa kwenye timu ya Taifa iliyokwenda Algeria.
Namkuali mno bwana huyu ila kwa hili alinifnya niamini kuwa kweli binadamu hatuko sahihi siku zote.
Hongera sana timu yote iliyoenda Algeria na kufanikiwa lengo la kwenda kucheza faiali za AFCON.
Ninawasihi wapenzi wa Fei Toto wasubiri tu uteuzi mpya atakuwemo na kwenda be huko AFCON
Huyo mpuuzi kazumali yupo kuichafua YANGA takataka huyoHuyo dogo anahitaji muda wa kutosha sana kurejea katika kiwango alichokuwa nacho wakati ule anaichezea Yanga.
Hivyo kocha alikuwa sahihi kabisa kuto kumuita kikosini. Na kuhusu huyo Bin Kazumari, ungempuuza tu. Maana huyo hana tofauti kabisa na yule Popoma wa humu jukwaani.