Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Gavana wa jimbo la Virginia, Marekani Bwana Governor Bob McDonnel, ameonesha wasiwasi wake wa kupungua kwa mapato yatokanayo na ushuru wa nishati ya mafuta kwa kadiri watu wanavyozidi kununua magari yanayotumia mafuta kwa ufanisi wa juu. Amesema kuwa bajeti ya maendeleo ambayo inafadhiliwa na kodi zitokanazo na uuzaji wa mafuta inaweza ikakwama kwa kuwa watumiaji wa magari watatumia mafuta kidogo zaidi kwa safari zao na hivyo kupungua kwa tozo zitokanazo na uuzaji wa mafuta.
Kwa hali hiyo, amependelea watu waachane na Vibaby walker na kununua magari yanayotumia mafuta mengi ili tozo za ushuru wa mafuta zipande ili bajeti ya jimbo lake lisikwame.
Kwa habari zaidi soma:
http://business.time.com/2013/01/16/virginia-is-worried-cars-are-becoming-too-fuel-efficient/