Wanao sumbuliwa na tatizo la umeme mdogo solution hii hapa!

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,640
Umeme mdogo umekuwa kero kwa watu wanao tumia vifaa vikubwa kama vile motor;mafriji n.k

Hata Stabilizer zimekuwa zikishindwa kukabiliana na tatizo hilo

Inafikia hatua vifaa hivyo havifanyi kazi kabisa na hali hiyo ya umeme mdogo imepelekea mara nyingi vifaa hivyo kuungua au kuharibika.

MES solution tunawaletea kifaa ambacho kimewasaidia wengi ambao wanaishi maeneo yenye low voltage
kifaa hiki ni Automatic low voltage boostrer

View attachment 193681

View attachment 193683

kinaondoa tatizo la umeme mdogo kwa asilimia 99%

Kifaa hiki kinatengenezwa kwa order tu kutokana na vipimo vitakavyo fanyika katika nyumba yako

Kwa maelezo zaidi kuhusu kifaa hiki piga simu namba 0657-115587

au fika ofisini kwetu Segerea Junction Along kinyerezi road
 
Habari nzuri

Je kinaweza pia kuhifadhi umeme?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…