Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
Wanao ahidi kukuamsha watakuchelewesha makusudi halafu waseme walipitiwa😊
1. Jifunze kuamka bila kushikwa mkono
2. Jifunze kutembea hata kama una usafiri.
3. Jifunze kukaa chini hata kama una utele wa viti.
4. Jifunze kuishi peke yako hata kama mpo wengi pamoja
5. Jifunze kuishi bila vyeti hata kama umeajiriwa kwa vyeti vyenye hati nzuri.
MAISHA SIO MSTARI MNYOOFU KUNA SIKU UTARATIBU UTAKUTAKA UKAE CHINI ILIHALI VITI VIPO SASA IKIWA HUKUJIANDAA KABLA UTAKUWA KWENYE KIPINDI KIGUMU SANA KUKUBALI MATOKEO
#Fikia Ndoto Zako
#Mwanasayansi Saul kalivubha