Wanaoamini hakuna Mungu wana hoja, wasikilizwe

Wale walio liwa na wanyama wakali kama simba mamba na fisi atakutanao wapi?
Hakuna kitakachopotea.
Kama aliweza kugeuza mannii kuwa mtu.kwanini ashindwe kukufufua?.sio hao hata wale wahindi wanaojifanya wajanja wanachomana moto na majivu kutupa baharini na mitoni.my brother kwa Mungu hakipotei kitu.😂😂.
MIMI KOSA,MUNGU KOSA.haipo hyo
 
😂😂.kwa akili zako unadhani Mungu anataka nini kwako?au anakutegemea kwa lipi?.wala hana haja na wewe
ngona nikutoe tongo kwanza.. anaeunda kitu ndie huwa anashida nacho! Mnasema mungu kamuumba binadamu yeye ndie anashida na binadamu sisi hatukumuomba na kamwe hatuna chakupoteza hata akitupoteza hakuna tunachopoteza maana maisha kwetu hayana maana yoyote kwani hatukuyaomba!.
acheni kuwa na fikra za kioga ktk kuhoji na kufikiri.. anaeunda nguo ndo mwenye shida nayo nguo hainashida hata kama itachomwa moto si shida zake!.

na ndio maana hata tukifa sote humu duniani nadunia kufutia sisi hatutakuwa na hasara yoyote,hizi purukushani za watu kutafuta mali hata zisikutishe ndo uone kwamba sisi tunamuhitaji mungu!.. think big hatuna chakupoteza.
 
Kwani wewe kuletwa duniani haujapenda?
 
sijapenda ndio maana sikuombwa kabla sijazaliwa!
Hii ina maana huna madaraka.na unamtegemea yeye.
sasa kama haukutaka kuletwa duniani unatakiwa utafute sehemu ya kwenda kuishi🤣🤣🤣
 

Attachments

  • images.jpeg
    23.4 KB · Views: 5
Hii ina maana huna madaraka.na unamtegemea yeye.
sasa kama haukutaka kuletwa duniani unatakiwa utafute sehemu ya kwenda kuishi🤣🤣🤣
mkuu hivi unatumia ubongo upi kupembua mambo...?naona shughuli itnataka kuwa pevu..😂
 
Punguzeni kejeli na masihara kwa Mungu.
 
....IS STILL GOD.
 
Uamini mungu yupo,au usiamini HAKUMPUNGUZII CHOCHOTE YEYE.maan yeye hana huitaji kwako.bali wewe unamuhitaji.mtakutana kaburini
Hakumpunguzii chochote kwa sababu hayupo.

Ukibisha, thibitisha yupo.
 
Hadithi za kufikirika hizo. Nani alikufa akarudi kukusimulia?
 
Kulingana na NENO la Mungu,

Wanasema hakuna Mungu ni " Wapumbavu".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…