Wanaoangalia sasa hivi Madeama vs Belouizdad Yanga kazi wanayo

Niliyasema haya, jamaa wako vizuri sana. Waarabu sijui kwa nini wana mentality wakiwa nje wanacheza mpira ronyoronyo sana. Hawa wakienda kurudiana Algeria watapelekewa moto hautadhani ndiyo CRB waliocheza leo.

Ila nilitaka CRB washinde leo ili safari ya kumzika uto iwe fupi zaidi
 
Habari iwafikie Komwe na genge lake ...
 
Medeama wamewashinda waalgeria 2-1. FT
 
Tulidhani hawa madeama ni underdog, angalia mpira wanaoopiga Belouizdad wanatamani mpira uishe.

Yanga asiposhinda kesho kwa Mkapa basi ndoto yao itakuwa imeishia hapo.

Full Time MADEAMA 2 BELOUIZDAD 1
Fatilia timu yako acha kushupalia mambo ya jirani wakati kwako kunanuka, wewe si unacheza kesho au ndio mshajikatia tamaa na kikosi chenu Cha wazee wa pensheni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…