Wanaoangalia sasa hivi Madeama vs Belouizdad Yanga kazi wanayo

Wewe ASEC Memosas kakutoa jasho nyumbani huoni ila umekomaa na ya jirani
Aly Kamwe aliulizwa unaonaje mechi ya BELOUIZDAD na Al Ahly inayokuja? Kwa kupoza machungu aliongelea ushindi wa goli 5 wa Yanga na kuchukua kombe la NBC. Nilicheka sana, hii nchi kuna watu wamevurugwa sana
Leo nimemsikia kuhusu kuwahamasisha mashabiki wa Yanga uwanjani ila matokeo yake alizungumzia kuhusu tuzo ya mashabiki bora ya Simba. Nilicheka sana
Ila kesho mkikomaa sana bila bila au kufungwa km USM Alger au Al hilal
 
Nani mwingine kaona Cr Belarouzidad wamefungwa goli lisilo.la halali?

Mchezaji aliushika mpira sijui mliona ile faulo?
 
Kama umeangalia mpira vizuri medeama hawajacheza mpira wa kumfunga yang, nlichokiona yanga alikosea plan ya kumfunga CRB, Leo waarabu walikua frustrated sana na hyo yanga wakija wacheze hivo
CRB walikuwa wazito sana na walikuwa wakifika katikati ya dimba wanapunguza mwendo kama hawataki kwenda mbele. Mpira wa Africa ina mambo mengi
 
Naona Makolo wana tafutia furaha kwa yanga [emoji28]ziil3 missiles 5 zili hsribu saikolojia kabsa
Mtaukumbuka sana ushindi wa goli 5 maana Algeria mlichezea 3 kwa yai, kesho Al Ahly wanapiga pale pale kwenye mshono.
Beti kwa Utopolo kesho pesa nje nje
 
Kifupi leo mediema wamewaonyesha team za Tanzania namna ya kucheza na waarabu vizuri sana hao si wakuwakabia golini hao wanakabiwa nje ya box la 18.. kipa wa madeema leo amecheza vizuri sana. Na amewapanga mabeki wake vyema sana..
Na kingine hali ya wachezaji wa madeema ipo juu sana utadhani ni national team.

Na hapo hakikisha mpira mnakiliki
 
Nani mwingine kaona Cr Belarouzidad wamefungwa goli lisilo.la halali?

Mchezaji aliushika mpira sijui mliona ile faulo?
Na walifinywa goli la halali first half....
Ule Mpira uliomponyoka kipa ulivuka mstari ,waweza angalia Tena vizuri.
 
Na walifinywa goli la halali first half....
Ule Mpira uliomponyoka kipa ulivuka mstari ,waweza angalia Tena vizuri.
First half sijaangalia

Kumbe kulikuwa na sintofahamu kama hiyo Duuuh
 
Kwa namna Fulani Medeama yamewapunguza kasi hao waarabu na joto Kali la Ghana limewaadhiri , mbona Ghana hawachezi mechi usiku ?
Hili group lipo open sasa .
 
Yaani aitapike hiyo hela

Ova

 
ubetia ndo nn? Hata yanga ana maumivu ya kupoteza confederation cup na mech dhid ya cr, tukutane hapa baada ya dk 90+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…