ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Miji mingi tu kasoro labda dar ndo sijakutana naoUmewaona wapi?
Dar haujawakuta kabisa?kasoro labda dar ndo sijakutana nao
Umewaona wapi?Jana nimeona wawili mmoja kachoka zaidi, mwenye nguvu kias ndo kamshika mkono mwenzio wanaomba omba madukani
Kwenye misele yanguUmewaona wapi?
Dar wako sana mitaa ya mnazi mmoja maeneo ya kitumbini pale...kwa tafiti tulizofanya wengi wao si kwamba ni ombaomba per se! wengi wao wana miliki nyumba zaidi ya moja maeneo tofauti ya mji! Wengi wanadai kuomba ni mazoea yao!..Jana nimeona wawili mmoja kachoka zaidi, mwenye nguvu kias ndo kamshika mkono mwenzio wanaomba omba madukani
Kwenye misele yako wapi?Kwenye misele yangu
Dar wapo kibao mkuu.Miji mingi tu kasoro labda dar ndo sijakutana nao
MtaaniKwenye misele yako wapi?
Yaani Hadi naogopa π°π°.. sometimes hua najiuliza hivi Hawa hawana watoto maana sidhani kama Kuna mtu anapenda kumwona mzazi wake akiwa ombaombaUmesikia wewe toto Leejay49 siku ukizeeka na ukiwa haukupata pesa ,ukabeba vifurushi furushi utaitwa mshirikaina.
Wakati wewe mtoto unajiuliza na kumuonea huruma na yeye kama mzazi hataki kukuona unateseka kutembea ukiombaomba.Anaamua aende yeye mwenyewe. Upendo,huruma na kujali.Yaani Hadi naogopa π°π°.. sometimes hua najiuliza hivi Hawa hawana watoto maana sidhani kama Kuna mtu anapenda kumwona mzazi wake akiwa ombaomba
Pole sana mkuuKuna mbibi alivaa ushungi wiki jana aliniomba maji niliyokuwa nakunywa kwenye chupa nikashangaa ila ikabidi nimpe, akauliza ninywe kidogo au nichukue yote nikasema chukua.
Nikasogea mbele nikashtuka, logic ya mtu kuniomba maji niliyokuwa nakunywa. Na mauzo siku mbili zilizofuata yalikuwa mabaya sana nikaona coincidence tu.
Ningefikiria vizuri ningempa hela akanunue mwenyewe
Wengine unakuta watoto wamewapuuzia wazazi na wengine unakuta watoto na wao hawana mwelekeo wowote.Yaani Hadi naogopa π°π°.. sometimes hua najiuliza hivi Hawa hawana watoto maana sidhani kama Kuna mtu anapenda kumwona mzazi wake akiwa ombaomba