Wanaobeza ushindi wa Simba sc, wajue kuwa katika mechi 5 zilizopigwa mpaka leo hakuna timu iliyoshinda kwa tofauti ya zaidi ya goli moja

Subiri match ya marudiano ndio utajua umuhimu wa kufunga magoli mengi ukiwa kwako.
Luc Eymael hakukosea . Litimu lenu hata wahanga wa vita wa somalia mlishindwa kuwafunga hayo magoli mengi . Rivers waliwasugua mbele na nyuma bila majibu . Leo unataka simba ndo afunge kila timu inayokuja bongo magoli 3 +. Wewe ulishindwaje kumfunga Rivers?

Broo tambua kwamba hii ni Robo fainali. Kila timu iliyoingia ni bora. Goli Moja siyo haba. Kuna timu zinafungwa hadi nyumbani na ugenini mfano utopolo.


Mkuu huu ni mpira siyo kuchunga ng'ombe wa mayele kwamba utachagua mwenyewe kwamba leo nikamchungie sehemu fulani.
 
Umeeleza vema,kama hajakuelewa aaah au basi

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Watabadilika,nafikiri na wao wanalijua hilo pia....tusiwe negative sana maana hakuna asiyelijua hilo.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Kama umeshindwa kuelewa point yangu basi haya ndio maajabu yenyewe ya nchi.....


Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo sio kushinda kigoli kimoja cha penalti, tatizo linalowafanya mashabiki wa simba kupoteza nuru ya furaha juu ya huo ushindi finyu ni game aproach ya simba wenyewe kwenye mechi za ugenini imekuwa ni kama pombe ya ngomani inagongeshwa goli za kutosha, bahati mbaya Sana wameanzia nyumbani na ushindi mwenyewe ndo Kama ivyo, Kama uko nyumbani na forward zako zimeshindwa kufurukuta angalau kuonyesha uhai ata kidogo unategemea nini ugenini??? Msimu uliopita kaizer chiefs alishinda nyumbani kwake goli 4 bila lakini akaja kwa mkapa akafungwa goli 3 bila vipi Kama angeshinda kwake 1 bila si angeondoshwa, Mantiki ya kushinda kwako goli za kutosha ni iyo kwa maana na mpinzani wako na yeye anakwenda kujipanga kwa siraha zote nyumbani kwake Kama ulivyojipanga wewe, ukweli ni kwamba simba mechi za mtoano bado aijajua namna ya kuzicheza na ushindi wa kigoli kimoja kwenye hatua Kama hii mbaya Sana kwa maana kocha anabaki njia panda ajui kule ataenda kustick na mfumo gani wa kulinda ilo goli moja au akafunguke, sasa katika ayo yote bado kiama awezi kukiepuka kwa maana akilinda atapigwa msako wa hatari na ndani ya dk chache anaweza asiamini macho yake kwa aina ya timu aliyonayo na uwezo wake mdogo kimbinu, pia akitaka ashambulie wapishane bado na penyewe atakula za uso kwa aina ya uchezaji wa orlando ambao nyumbani kwao watakuwa kama nyuki waliochokozwa kwenye mzinga wao
 
Nao utopolo wanaweweseka na kuanza utabiri maandazi,wakati wao walipigwa Mbele na Nyuma na Rivers
 
Subiri match ya marudiano ndio utajua umuhimu wa kufunga magoli mengi ukiwa kwako.
kwa hiyo yanga hawakuona umuhimu wa kufunga mabao kabisa (maana hawakuwahi kupata hata goli moja) walipocheza na Wanaijeria?
 
Unaweza kunitajia timu Moja tu hapa Tz iliyowahi kupata matokeo ugenini kwa timu za kaskazini na magharibi mwa Afrika tofauti na simba kwa miaka ya hivi karibuni?
 
Unaweza kunitajia timu Moja tu hapa Tz iliyowahi kupata matokeo ugenini kwa timu za kaskazini na magharibi mwa Afrika tofauti na simba kwa miaka ya hivi karibuni?
Matokeo yapi aliyopata simba ugenini? Sare ya gendamarie?
 
Kwaiyo unataka kusemaje, ukubali ukatae ndo mwisho wenu, cha kwanza mechi za ugenini amziwezi, cha pili amna kocha pale kuna kivuli tu, cha tatu forward yenu ni butu ukiachilia mbali beki za wakina wawa na babu onyango, kwa timu ya aina iyo unajitapa kwa ushindi wa kigoli cha penalti nyumbani kwako?
 
Achana na walevi hao.

Walisema Orlando tishio inashinda popote. Tena ugenini ndiyo wanakuwa wakali zaidi.

Sasa wanailaumu Simba kufunga goli moja afu wanasema tusubirie marudiano tutafungwa magoli mengi.

Wanasahau huu ni mpira na unambinu zake.

Tutarajie kauli nyingine tena hamtoki kwa mwarabu.
 
Makolo walizani watashinda tano bila, sasa Kipigo cha mbwa koko kinawasubiri huko bondeni
 
Kajitahidi kusoma ila kashindwa kuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…