Pre GE2025 Wanaodaiwa kuwa ni polisi Dodoma wafanya upekuzi nyumba ya Honesty Msacky Mwanachama wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
masikini ccm bado wanatumia mbinu za kizamani sana ku deal na chadema
 
Huyu atakuwa gaidi ndiyo maana wamemshtukia aache uhuni atoe ushirikiano yaani yeye hana balozi anaishije kwenye mtaa wenye balozi huyo aiyepo ndyo balzi wake
Wewe utakuwa mwendawazimu. Balozi siyo kiongozi wa serikali mtaani. Huyo ni kiongozi wa CCM. Ni sawa uende kwa muislam halafu umwambie, amwite kiongozi wake wa jumuia ndogo ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…