Wanaodhani CCM haiwezi kuzijibu hoja za CHADEMA/LISSU/MBOWE/MARIA SARUNGI et al majibu yao haya hapa

Wanaodhani CCM haiwezi kuzijibu hoja za CHADEMA/LISSU/MBOWE/MARIA SARUNGI et al majibu yao haya hapa


Hii dunia kila mtu kaumbwa aache mchango wake ili wengine wamalizie sehemu nyingine. Busara ya uumbaji huja na kile cha kufanyika na kingine kinaendelezwa na mwingine hakuna mwenye uthubutu wa kufanya akamaliza kila kitu.

Mzee JK haishi na dukuduku moyoni mwake anarahisisha maisha siku zote na hiyo ni dawa ya kuongeza siku za kuishi. Ukiwa na hulka za kujiona unajua sana na ukajidanganya kwamba unao uwezo wa kutatua matatizo yote utaumiza tu moyo wako.
 
Back
Top Bottom