Hii dunia kila mtu kaumbwa aache mchango wake ili wengine wamalizie sehemu nyingine. Busara ya uumbaji huja na kile cha kufanyika na kingine kinaendelezwa na mwingine hakuna mwenye uthubutu wa kufanya akamaliza kila kitu.
Nyerere aliacha taifa la wanyama... ingawa kwake ilimsaidia kutawala lakini kaondoka kaacha mzigo mzito sana wa wafu wanaotembea.
Mzee mtoto wa mjini huwa anacheka tu wanapomshambulia...Kikwete anawajibu genge la Magufuli ambao wana chuki kubwa dhidi yake.
.
CHADEMA hata mueo anaipendaKheri ya ukoo wa panya kuliko CHADEMA kizazi cha nyoka