hudyrawaaah
Member
- Nov 13, 2021
- 12
- 10
Hahaha inabidi aulizwe, kama kaelewa?Hello new member,are you ok? Hiki ulichokiandika umekielewa?
Namanisha ili ufanikiwe kweny biashar jaribu kutafuta bidha ambazo utaauza bei chini mfano cm inauza 500000 tecno ya marekan wew ukatafuta tecno ya china ukauza 300000 utafanikiwa sana kibongo bongoHata sijakuelewa hata kidogo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] au sioBila shaka huyu ni form four failure kutokea Nkuhungu Public Secondary Sc
Sidhani kama hata wew mwenyewe umeelewa, haya ndiyo madhara ya CCMWanaofanikiwa sana kwenye Ulimwengu wa biashara sio wanaouza bidha ni wanao uza bei ya bidhaa watanzania tunapend kutumia kitu kwa wakati mdogo kukidhi haja ya muda tu na sio milele ili ufanikiwe katika biashara uza bei ya kitu
Shida una maarifa madogo [emoji16][emoji16]Sidhani kama hata wew mwenyewe umeelewa, haya ndiyo madhara ya ccm
Yaweza kuwa kweli, swali je wewe umeelewa ulichoandika?Shida una maarifa madogo [emoji16][emoji16]
Ukiatangaza bei halisi ya elfu 5 tegemea kutokuuza kwa siku 3 mfululizo maana hamna mtanzania anaenunua kitu bila kutaka punguzo!Nadhan nimemuelewa kwamba unapouza kitu uza kwa ile bei halisi yaani kama ni kitu cha 5000 basi tangaza elfu 5000 na sio unamuanzia mteja kwenye elfu 30000 muanze kushushana.
Mleta mada kalewa kwa kweli,Hivi Marekani tecno zipo nauliza wakuu?
Isiwe mleta mada kalewa jamani