Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Kuanzia mwezi huu biashara za mtandaoni zitatozwa ushuru wa aslimia 1.5 kutokana na shughuli hizo za kidijitali.
Kwenye taarifa mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini-KRA imesema kuwa sheria ya mwaka 2020 ilianzisha aina mpya ya ushuru wa kidijitali-DST ambao ulianza kutozwa tarehe Mosi mwaka 2021.
Ushuru huo wa aslimia 1.5 ya mapato utatatozwa wale wanaopata mapato au riziki yao kwa njia ya kidijitali.
Ushuru huo utalipwa wakati wa kutolewa malipo kwa huduma iliotolewa.
Taarifa hiyo kutoka ofisi ya kamishna wa kitengo cha ushuru cha humu nchini, inasema kuwa kwa wakazi na kampuni a humu nchini,ushuru huo utatozwa wakati wa kipindi cha mwaka huu cha ulipaji ushuru juu ya mapato.
Kwa wale ambao si wakazi wa humu nchini ikiwa ni pamoja na kampuni za kigeni, ushuru huo utakuwa wa mwisho kutozwa.