Wanaofanya Biashara ya Manukato (Perfumes) za Kupima...

Wanaofanya Biashara ya Manukato (Perfumes) za Kupima...

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
7,001
Reaction score
23,449
Naamini humu sitokosa mtu anaefanya hii biashara kama si mfanya hii biashara ila ana idea na elimu au taarifa kuhusu hii biashara.

Ni moja ya biashara ambayo nimechagua kuifanya kwa ukubwa sana huu mwaka Ndani ya biashara yangu Flani hivi.

Naombeni muongozo wa namna naweza ianzisha sijui bajeti kabisa kwahyo hapa nyie ndio mtaniambia bajeti yangu ianzie ngapi hadi ngapi.

Msione uvivu kufunguka Pesa kwani sitoianza kwa udogo nitaianza kwa ukubwa kwahiyo Fungukeni kadri moyo unavyoweza kufunguka kuhusu hii biashara. Hii ni kwa Perfume za Kupima TU.

1.Mtaji kiasi gani?
2.Zinapatikana wapi?
3.Bei zake zikoje?
4.Vifaa vyake zile mashine za kufungia vifuniko.
5.Chupa za kupimia za style tofaut zinapatikana wapi?
6.Faida yake ipo vipi?
7.Na mengine mengi ambayo sijaweza yaandika hapa nitaomba Mnisaidie ndugu zangu.

Nawasilisha.
 
Sad that huu uzi haujachangiwa,
Any updates mkuu na hii project yako, ulifanikiwa? If so chimbo lipo wapi tukuungishe?

Pia kama ulifanikiwa you can share ABC kwenye hii biashara.
Shukrani
 
Mi Wala sizijui...toka 2023 kwangu NI mpya leo 2025...ungetumia msaada wa Google kidogo angetoboa
 
Ubinafsi is real...

Mkiwa kwenye uzi utaona mtu anakuja na ka comment kake, biashara ya perfume za kupima inalipaa,
Muulize chimbo zuri lipo wapi? Either Apotee, akuunganishe dukani kwake/la mtu wa karibu ambaye naye anachuuza au akijitahidi Atakuambia nenda kariakoo/mnazi mmoja yaani simple tuu.

Mimi nilivyokua nasikia perfume za kupima nilijua ni vile vile zikiwa zimewekwa kwenye chupa zake mzee baba zinawekwa kwenye limizani zikiwa mchanfanyiko unapimiwa kilo labda 20kg, ikabidi ni Google ndio naona kumbe ni li dumu ukifika unaanza kupima kwenye chupa.
 
Back
Top Bottom